TCU na KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY WAWADANGANYA WATANZANIA

Willey ushaki

Member
Feb 2, 2011
20
3
Kwenye guide book ya TCU walionyesha ada ya hiki chuo ni milio mbili lakini hapa chuo ada inalipwa kwa rate ya USA dolar na michango mingine mingi kwa mwaka inazidi milion tatu hivi hii serekali inalitambua hili?
 
Me hao jamaa wamenitsha kwnye ada ya B.pharmacy yani 2000 US dolar per semester n hatar areef af bado michango kbao. Hv wanaijua hal halis ya maisha ya mtanzania kwl na hasa ktk hk kpnd ambacho bodi ya mikopo imejaa ubabaishaji hivi?
 
Hawa bila kuwakurupusha kwa migomo na maandamo hawataelewa! Kitu cha kushangaza zaidi ni serekali ya bwana jk hivi kweli inamjali mtanzania tuko kwenye nchi yetu alafu huduma tuipate kwa rate ya US dolar!
 
Mmejiandaaje kuksanua next week? Inabidi muiraise kdogo presure ya huyo mwanamama ka wenzenu wa IMTU lazma serikal nayo istuke wanavunga ka hawaon vle...
 
Kuna vyuo vinaitwa IAA na IFM yan Utadhani sio vya serikali.wanatoza ada kubwa kana kwamba mtu akigraduate ana guarantee ya kuajiriwa cku hyo hyo..me nahc wanawakomoa wabongo tu
 
Kazi ya Tcu sio kusajili tu vyuo, wanapaswa pia kuvi-monitor. Tcu hili hamlioni?
 
Kwenye guide book ya TCU walionyesha ada ya hiki chuo ni milio mbili lakini hapa chuo ada inalipwa kwa rate ya USA dolar na michango mingine mingi kwa mwaka inazidi milion tatu hivi hii serekali inalitambua hili?

serikali ya kimasaburi haiwezi kulitambua hilo. labda nyie mnahesabika foreiners
 
Wana jamvi,hii govt ina mkakati gan na hv vyuo vya $ !Kila mwaka fees inapanda na nnavyockia pale michango kibao.Kuna m2 kakimbia pale kwenye brochure wameandika ndogo ya ile iliyoandikwa kwenye adm letter.Wanaboa sana
arghhh......
 
Hyo wiki ijayo hapo KIU mpaka kieleweke ada kubwa,mazngra ya kusomea magumu tunaosoma bussines tunajazana darasani kama madarasa ya shule za kata alafu tcu kikaipa usajili chuo kama shule ya makongo
 
Hyo wiki ijayo hapo KIU mpaka kieleweke ada kubwa,mazngra ya kusomea magumu tunaosoma bussines tunajazana darasani kama madarasa ya shule za kata alafu tcu kikaipa usajili chuo kama shule ya makongo

unamlalamikia nani sasa? We ulilazimishwa ujaze? Nyinyi ndio wale mkishauriwa mnajifanya mnajua,sasa habar ndio we ukukiona udom? Tia? Iaa? Basi hata mwalimu nyerere memorial? One mistake one goal.
 
unamlalamikia nani sasa? We ulilazimishwa ujaze? Nyinyi ndio wale mkishauriwa mnajifanya mnajua,sasa habar ndio we ukukiona udom? Tia? Iaa? Basi hata mwalimu nyerere memorial? One mistake one goal.

kwa nin umevitolea vyuo hvyo mfano,au ndo vya vilaza?
 
Back
Top Bottom