Recent content by Wilbert255

  1. W

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji wa mizigo Dodoma to Mbeya/songwe

    Wakuu kwema? Naomba kuuliza Kwa wenyeji wa Dodoma Kama Kuna kampuni ya kusafirisha mizigo (pikipiki) kutoka dodoma hadi Mbeya. Au kwa wazoefu wa dodoma huwa mnasafirishaje mzigo toka Dodoma hadi Mbeya? Au sehemu gani malori mengi ya kwenda Mbeya/ Songwe/ Tunduma au mikoa mbalimbali huwa yana...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kagoma kuzama chumvini kwasababu ya cheo chake kazini

    Ni ujinga wa viwango vya juu, boss yuko sahihi kukataa Hataki kuiga Mambo ya KIJINGA Nina yakataa kwa imani yangu.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako tafadhali, ni fursa gani za biashara zinapatikana nyanda za juu kusini?

    Habari za wakati huu wakuu, bila shaka kila mmoja wetu anapambana ili kutimiza malengo aliyo jiwekea. Ushauri wako ni muhimu katika hili. Mimi ni kijana, ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini sana sana MBEYA na SONGWE na IRINGA kidogo, pia ni mwanachuo katika chuo (jina la chuo) hapa...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya k/koo derby :Mashabiki wa simba tunakwama wapi?

    Leo mlikua mnakufa Mna bahati sana, dadek eti pila birian. Mtateseka sana msimu huu Tumewaonesha leo kuwa kimataifa mtakula tano tano za kutosha na kikosi chenu kibovu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mmeponea chupu chupu mngekufa leo Mna bahati sana
  6. W

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mikia fc mnafuata nini huku mnatapatapa
  7. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa haya kuhusu nyumba hizi ambazo bati zake hazionekani

    Habari za muda Wakuu, Kuna nyumba nimetokea kuzipenda, nimeona Kama gharama ni ndogo. Ni nyumba ambazo zimejengwa bati kwa juu hazionekani. Kuna maswali najiuliza naomba majibu: Je, kweli hizo nyumba zinatumia bati chache? Je, naweza kutumia tofali za kuchoma? Je, nikitaka kujenga nyumba ya...
  8. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Poleni na changamoto za uchaguzi wakuu. Mkoa wa songwe, taarifa za uchaguzi huko zikoje upande wa matokeo Katika majimbo ya Vwawa Momba Mbozi Songwe Ileje Mlowo Tunduma
  9. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Siku ya pili tumbo linauma na kuacha

    Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada nitumie dawa gani, tumbo linauma na kuacha au nikanunue dawa gani? Leo ni siku ya pili.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Vitu vitano ambavyo hautokuja kuvifanya tena

    You never know later
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ambae hujamuomba picha lakini anakutumia anamaana gani?

    Na wewe mtumie picha zako
  12. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Watakuja
  13. W

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa kike anakopeshwa pesa?

    Subiri uanze kuhesabu siku kwenye calendar
  14. W

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu

    Na wale wa buku 5
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kero na karaha ya maisha ya kibachela

    Shuka likichafuka upande wa juu, tunageuza na kutandika upande mwingine. Usafi wa geto Mara 1 kwa week Soksi safi unapukutia sahani Hahahahaaaaa
Back
Top Bottom