Usafirishaji wa mizigo Dodoma to Mbeya/songwe

Usafirishaji wa mizigo Dodoma to Mbeya/songwe

Wilbert255

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
27
Reaction score
28
Wakuu kwema?

Naomba kuuliza Kwa wenyeji wa Dodoma Kama Kuna kampuni ya kusafirisha mizigo (pikipiki) kutoka dodoma hadi Mbeya.

Au kwa wazoefu wa dodoma huwa mnasafirishaje mzigo toka Dodoma hadi Mbeya?

Au sehemu gani malori mengi ya kwenda Mbeya/ Songwe/ Tunduma au mikoa mbalimbali huwa yana paki.

Lengu kuu nataka kusaidiwa namna ya kusafirisha pikipiki toka dodoma hadi Mbeya. Nawasilisha
 
Kwann unahitaji Lori tu? Kama ni Pikipiki si hata kwenye Buti ya Bus inaingia?

Bila kuathiri Malengo yako, nenda stend ya Machame pale jirani na njia panda ya Area D, wapo Vijana pale watakusimamishia Malori kutoka Arusha kwenda njia hiyo ya Mbeya!
 
Back
Top Bottom