Msaada: Siku ya pili tumbo linauma na kuacha

Msaada: Siku ya pili tumbo linauma na kuacha

Wilbert255

Member
Joined
Apr 15, 2020
Posts
27
Reaction score
28
Habari za muda huu wakuu! Naomba msaada nitumie dawa gani, tumbo linauma na kuacha au nikanunue dawa gani? Leo ni siku ya pili.
 
Linauma kwa kuunguruma? Je unaharishaaa? Je hata baada ya kula linauma au ukichelewa kula ndo linauma lakini ukila linapoa??? Je unasikia kiungulia?? Maswali haya yanaweza eleza unaumwa tumbo la aina gani.
 
Back
Top Bottom