Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu

Tunaweza kuwacheka kumbe wanatengeneza hela ndefu

Umetupa faida tuu,..
Hawajaumwa(sidhani kama wana insurance)
Kukimbiwa bila kupewa malipo yao au kulipwa fedha bandia
Gharama ya matunzo yao ya kila siku ili waonekane hothot(saluni,mavazi,chakula,rent)n.kwa


Kwakweli sijui kama kuna faida ya moja kwa moja zaidi ya kupata hela ya kununulia Brazilian hair tuu na Gucci😩😩
Maisha yao yanakuwa ya juu sana yanayogharimu fedha nyingi....anaweza kutumia 50mil au zaidi kwa ajili ya kujitengeneza tu n.k
 
Ninahisi unasemea exotictanzania, wale wanapata lakini siyo ela hiyo kama unavyowaza na rate zao wameweka tu kwa wazungu ila wakikutana na waswahili hata buku 30000 unakula
30,000 mkuu labda waliochoka
 
kama unaongelea exotic tz, hakuna kitu pale, yale ni maandishi tu ila hali halisi ni tofauti kabisa, nime 'incall' kama watatu mpaka sasa ivi na price zao ni around 70-100k / full night ( saa 2 usiku till mornie) ,

sema tu wako vizuri sana, hawanuki K, huduma ni full package, ku ma classic na wanajielewa
Chukulia yule aliyeumbika na anataka atunze status yake,hapo inakuwaje mkuu?
 
Aisee pole sana mkuu,mi kuna mwanangu mmoja alikopa mil 7 akasome masters baadae akaahirisha,akatenga kama mil 4 hivi akaona aipeleke kwny matikiti.

Aisee zao shambani lilikubali balaa kufika sokoni matikiti yamejaa madalali wanazingua jamaa akakomaa kuuza mwenyewe kama siku 3 hivi baadae akalala mbele hata kirikuu aliyokodisha hakuwalipa hela yao akawaachia hayo matikiti ndukiiiiii.

Mwanzo mgumu mkuu.
Hahahahaaa, Maisha kweli ni changamoto
 
Hamna kitu kama hiko mkuu...wale wadada wameajiriwa wanalipwa kwa commission,hyo pesa inagawanywa kwa watu kibao,kuna pesa ya site hapo,kuna ya management,pana pesa yakuhonga mamlaka husika n.k

Hiyo biashara sio rahisi kabisa watu wengi wanaifanya na kuicha pesa zinapotea sana..
Recruitment ya wasichana pia sio kazi rahis haswa kama unaifanya internationally...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom