Wilbert255
Member
- Apr 15, 2020
- 27
- 28
Habari za wakati huu wakuu, bila shaka kila mmoja wetu anapambana ili kutimiza malengo aliyo jiwekea. Ushauri wako ni muhimu katika hili.
Mimi ni kijana, ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu kusini sana sana MBEYA na SONGWE na IRINGA kidogo, pia ni mwanachuo katika chuo (jina la chuo) hapa Tanzania.
Nategemea kuhitimu masomo yangu mwakani, Siku zote biashara asubuhi mahesabu jioni.
Naomba ushauri ni fursa gani za kibiashara na ujasiliamali nzuri zinazopatikana katika hiyo mikoa na kwa mtaji gani naweza toboa maisha, kwa sababu naona Kama nikimaliza masomo yangu naweza ishia kuzurura.
Asateni nawasilisha.