Recent content by waziri kalala

  1. W

    Katika mtazamo wa kitanzania: mwanasiasa ni nani?

    Mwanasiasa kwa maono na uono wangu mdogo....... MWANASIASA kwa maoni yangu hapa Tanzania ni yeyote yule ambaye anafanya yafuatayo: . anatoa ahadi zitakazokufaa wewe baada ya wewe kuwa umeshakufa, . anakudanganya kwa pilau, kuku, kanga, kitenge au kanzu na zawadi nyingine za kijinga...
  2. W

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    WHAT an alarmist. Any orgamization must have a charter and the charter is drafted to suit the one who wants his cloth to be cut accordingly. But nothing in this world is static. Things change. Am always surprised to note that a lot of people don't know a China was the most powerful time at one...
  3. W

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Vipi mzee Mwanakijiji mbona unaegemea upande mmoja. Kuna makala kadhaa sizioni hapa katika string hii imekuwaje. Au ndio tayari kuna mtu analipwa na kanisa na Vatican?????
  4. W

    Tanzania's GDP: Hivi tunajua hili?

    NI DHAHIRI serikali imeshindwa kutumia Human Developmen t Index, Mo Ibrahim Index of African Development na takwimu zingine toka taasisi mbalimbali duniani na ku-factor in mikakati ya maendeleo hususan kwa ;mfano kama tunataka GDP per capita ya Mtanzania iwe labda £2,500 baada ya miaka 5...
  5. W

    Tulichosema kuhusu Kigamboni kimetimia: Tukimbilie wapi?

    Bunge limeanza kikao chake sasa. Na sisi kwa heshima na taadhima tuansema hivi: 'Tunamtuma mbunge anayehusika na eneo la Kigamboni kwenda kusema wananchi wa Kigamboni wanadai hati zao za ardhi ikiwezekana kabla ya mwisho wa mwezi huu. Tumechoka kuibiwa, tumechoka kufisadiwa. Au mnatuona...
  6. W

    Tumuombee apone na kurudi salama nyumbani!

    HIVI hatuwezi kuwa na hospitali 2 au tatu za KIMATAIFA kwa maana madaktari watoke nje [ikiwemo Watanzania wanaotibu watu wa mataifa mengine] na kuwepo na vyombo vyote ila vile tu visivyoweza kuzuia mtu kufa tena vya kisasa ili tutoe huduma kwa nchi zote zinazotuzunguka na za mbali hasa zile...
  7. W

    USAFI na MAZINGIRA KTK AWAMU YA NNE

    HIVI ni UFISADI pia unaochangia baadhi ya miji yetu na hasa jiji la Kibiashara Dar es salaam kudorora kwa uchafu kila sehemu. NI siri gani aliyoitumia Bw. au ni Dk sikuhizi Fredrick Sumaye angalau kulifanya jiji likaanza kuwa na tabia ya usafi. Halafu baada ya kuondoka yeye hali imerudia...
  8. W

    Changamoto za maendeleo kwa Amiri Jeshi wetu

    WATANZANIA WENYE UWEZO NA VIPAJI VYA UVUYMBUZI WAPO TATIZO SERIKALI NA ROHO MBAYA! MFANO: OTHMAN OMARI MSEKENI Alirekebisha landrover kubeba mizinga tukamshinda nduli Iddi Amin Dadah na leo tumemsahau! HII habari kwa kweli imekuja wakati mwafaka sana. Wakati ambao vyombo vya habari huru...
  9. W

    Misaada na mkutano wa accra, ghana

    KWA tabia hivi hatuonekani kwamba sisi ni ' mala..' na tunajipeleka kwa mabwana anayetudanganya ana hela nyingi kumbe jamaa keshafilisika na sisi kwa kuwa mzubao japo tunashauriwa na wengine bado tunaamini hanazo kumbe hamnazo na pengine bwana huyo keshaubeba pia. Kimwana Tanzania nakuonea...
  10. W

    Misaada na mkutano wa accra, ghana

    KWA tabia hivi hatuonekani kwamba sisi ni ' mala..' na tunajipeleka kwa mabwana anayetudanganya ana hela nyingi kumbe jamaa keshafilisika na sisi kwa kuwa mzubao japo tunashauriwa na wengine bado tunaamini hanazo kumbe hamnazo na pengine bwana huyo keshaubeba pia. Kimwana Tanzania nakuonea...
  11. W

    Misaada na mkutano wa accra, ghana

    HIVI kweli tunazungumzia jinsi ya kutumia misaada ipasavyo? Mwaka huu 2008? Hii si aibu jamaa? YAMKINI ni utegemezi wetu wa msaad ndio uliotufukisha hapa tulipo. Kwa sababu hii Waafrika tunakuwa kama boya au pulizo-tukijazwa fedha za nje na wafadhili tunaona tunaoongoza vizuri na tumeletea...
  12. W

    EYE SPY: Time to retire, Mzee Kingunge

    SISI sote tutakufa ninadhani si muwala kutumia lugha kama hii ya kumwambia mtu wewe ngoja kufa!!! Au mnasemaje wenzangu. Kingunge ni mwanasiasa wa zamani inapaswa tumheshimu. Tunaweza tusimpende mtu au mawazo yake lakini hoja zetu zisiwe za kumlenga yeye binafsi kutokana na umri, jinsia...
  13. W

    Bunge nje ya bunge 2008-2009

    WAZIRI MHUSIKA KALALA- AU ANAMNGOJEA RAIS AMWAMBIE? KWA KUWA hii ni wiki ya Nenda kwa Usalama Bunge nje ya Bunge limeamua kuanza kuuliza maswali ya msingi ambayo yanakusudiwa kwamba yakipatiwa majibu basi yanaweza kubadilisha maisha ya Mtanzania katika muda mfupi kiasi msomaji wako...
  14. W

    EYE SPY: Time to retire, Mzee Kingunge

    HAKIKA wajamaa wa jana waliogeuka mabepari sidahni kama wana jipya la kutuambia. Haya kama ndio maoni ya mshauri wa mambo ya kisiasa wa CCM basi tutatumbue kuwa chama hicho hakina sera, visheni wala misheni kubalifu kwa watanzania hivi sasa. Kwa kuwa Watanzania wa leo kuliko ilivyokuwa huko...
Back
Top Bottom