Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 302
Ni muhimu kujua kiongozi wetu anasumbuliwa na nini?huyo ni public figure jamani!sasa kwanza habari zenyewe zimefichwa ina maana hakuna mgonjwa hapo!sasa aombewe kwa ugonjwa upi?
Sasa unaji-contradict mwenyewe, nadhani wewe ndio ulikisia kuwa kaenda kubadilisha damu, ambapo kwa maana nyengine ni mgonjwa, hatuwezi kujua kama hizi habari za kwenda kutibiwa ni kweli au la, mpaka pale tukipata uhakika kwamba kweli anaumwa na amekwenda matibabu nje ndipo tuna kila haki (kama walipa kodi) ya kutaka kujua kinachomsibu na kwa sababu gani zilizopelekea kutibiwa nje? Kabla ya hapo conclusion yoyote utakayoifikia itasababishwa na Dhana tupu.