Recent content by watarime

  1. W

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Nape Nnauye

    division four ya point 29????????????Duh kwa hiyo jamaa ni bonge la kilaza??? ndio maana hajasema lolote kuhusu matokeo ya F4 maana watamuuliza mbona nae alifeli lakini anatumia V8!!!!!!!!!!!!!!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vipaji maalum si lolote, si chochote

    Naona hapa ni chuki ilikuwa inatafutwa sababu tu! Anyway ngoja tuone mjadala utaneda. Vp ww ulisoma shule gani? na vp pefomance zako??
  3. W

    JamiiForums Tanzania 2015 Chadema Isisimamishe Mgombea Urais

    Nazani ulitakiwa kuwe Mirembe!!!!! This rubish of the century i think.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla na Hoja ya Kutafuta Umaarufu wa Kisiasa Kupitia Kupanda Bajaj ama Bodaboda!

    Ndugu Mbuge, Kupanda Bodaboda sikuona kitu cha ajabu tatzo ni pale ambapo unakuja kutangaza na kuwa agenda ya kujadili kwny FB wall zako badala ya kujadili hoja za kimaendeleo na namna unavyoshirki kuboresha maisha ya Watanzania Maskini ili nao waachane na vyombo hivi unavyo sema ni...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya walimu kulipwa kutokana na vyuo walivyosoma?

    Guys Hii UD inawapa tabu sana, Imekuwa tena kama siasa ama kweli vijana mumepoteza muelekeo, u should know kuwa UD is the state University though it can not produce 100% competent graduate but more than 80% but other University including u'rs can only give about 20% competent graduate this is...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Sasa ni MESSI,INIESTA na RONALDO...

    Lionel Messi, deserve this 100%!!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa aenda Ujerumani kwa matibabu

    Mkuu hawa jamaa siyo kuwa hawamini wataalam wetu wa ndani yaan DR but worry yao nazani hawataki wafamike nini has kinawasumbua!!!!!!
  8. W

    JamiiForums Tanzania Jumba linauzwa bei powa

    Kma huna hela keep quiet, kwan ulitaka iwe wapi ndio uambiwe 85M, kanunue masak na kwingineko wanako nunua wenye Visent kama akina Waziri Maige USD 450,000-700,000M Mm nachukia mtua anaye jifanya anadharau baadhi ya maeneo, ili hali hajawahi kujenga hata choo!!! Akifa leo msiba wanahani kwa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa akiwa Rais...

    This Rubish! Ww ni nani unataka kujua haya, so far ukisha jua msimamo wa wana JF wasio msupport then utachukuwa hatua gani?? Guy be a geater thinker.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Zitto atikisa Bagamoyo leo

    Huu ni ***** wa hali ya Juu, i don't think if this real is from a great thinker!!! Guy to me keeping silence if u don't have something vital to share/post is highly appriciated than just provoking. Kwan hao wazee wa Bagamoyo ndio spokesmen wa wa Taznzania 43M??? To me this is Rubish, sina...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lowassa kuzungumzia rushwa katika chaguzi za CCM -- kulikoni?

    Sorry ila ingekuwa vizuri ukatafuta Msemaji wake au yy mwenyewe maana humu hatuwezi kuwa na majibu!! Na kwa nini EL tu mm sio muumini wa mafisadi na hata CCM nimeichoka kuliko yawezekana mtanzania yeyote lakini hili Swali ni vyema lisimlenge mtu maana wanaoutaka Uraisi huko CCM nio Wengi muono...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

    Pole mkuu, Hata Dawa zile zinazotangazwa na akina Dr Manyaunyau zimeshindwa?? Na zile za Masai je?? Aisee ploe its a big challenge to go throough as a Man, but as many have advised please consult your DR.
  13. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kutumia Helkopta nne katika M4C kushambulia mikoa yote Tanzania

    Magamba bwana!! Yaani thinking capacity yako imekuelekeza hivyo?? Hizo pesa tumechanga kwa Lengo la Kueneza ujumbe wa mabadiliko kwa Tanzania ili kuchukua nchi 2015 kwa lengo la kusimamia rasimali za Taifa ili kuhakisha hizo huduma bora na mirad ya jamii ambayo haisimamiwi vizuri na Serikali...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Joseph KABALIMU is no More

    RIP Kabalimu, BOYZIA dont confuse huyu sio Mwombeki wa Maths na Physics mzee wa Swali likishindikana tumplekee H/Master wakat huo alikuwa Mrisho miaka ya 98 to 2007 i think, Mwombeki yuko Sengerema ni Headmaster one time nilikutana nae Mwanza akaniambia. Asante,
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kijana apiga mbizi kutekeleza agizo la Magufuli!

    Ubungo watu wanaenda kwa nadra,tofauti na fer ambako inamlazimu mtu kuvuka kuja kuganga njaa katkat ya jiji.
Back
Top Bottom