Mishahara ya walimu kulipwa kutokana na vyuo walivyosoma?

Jamani kwa mliomaliza kidato cha sita kuanzia mwaka 2003 kurudi nyuma mtanielewa kirahisi katika hili.
Mnaweza kukumbuka jinsi ilivyokua shida kupata nafasi ya kusoma degree unapopata haya division two HASA KWA MASOMO YA ARTS, kwan wakati huo vyuo vilikua ni UDSM, MZUMBE, SUA, MUHIMBILI na UCLAS, ukiacha vyuo vya uhasibu na usimamizi wa fedha ambavyo vingi vilikua vinatoa diploma na advanced diploma. Hakukua na bodi ya mikopo kama sasa ukienda huko kwingine wajijua mwenyewe kwa kila kitu. Nina ushahidi wa rafiki zangu waliokosa nafasi mlimani kwa kuwa walikua na division 2.
Lakini leo hii kuna wanafunzi wapo TEKU wana principal 1 (moja tu) tena ambayo ni E! Je unaweza kwenda University of Dar es Salaam kwa principal moja? Hapo ndipo dharau kwa vyuo inapoanzia, i.e. aina ya wanafunzi wanaopelekwa huko. WANAJAMVI TUWE WAKWELI, NA TUWEKE UNAZI NA VYUO VYETU PEMBENI......Je huyu mwalimu aliyepata S.S.E kwenye mtihani wa kidato cha sita hata baada ya ku-reseat atakua na uwezo wa kuwapa watoto kile kinachostahili? Kuna watu wanasoma degree kwenye baadhi ya vyuo sasa hivi, wakati siku za nyuma hata nafasi ya kusoma diploma wangehaha kupata. Hapa ndipo unapokuja utata.
Jingine ni aina ya walimu, kabla ya TCU kuja na sera za kuweka kiwango cha GPA kwa walimu wa vyuo vikuu kuna vyuo vilikua vinaajiri watu wasio na sifa kuwa wahadhiri wa vyuo vikuu. Sasa mwalimu kilaza lazima azalishe mhitimu kilaza, na kama mwalimu wako ni kilaza. Unakuta mwanafunzi wa chuo kikuu hajawahi kufundishwa na mwalimu mwenye PhD au aliyefikia ngazi ya Profesa hata mmoja mpaka anamaliza chuo, sasa unategemea ataongea nini mbele ya mwenzake aliyefundishwa na maprofesa wenye machapisho ya kutosha?
Njooni mashuleni mtaona vituko kuna walimu wanakataliwa madarasani na wanafunzi tena kwenye shule za sekondari kisa wapo shalo....ni weupe! Pia, hawa vijana wakija field mashuleni hakika utaona tofauti miongoni mwao hata uwezo wa kujiamini na kujichanganya. Nadhani hata makazini huko kwenye sekta zingine pia unagundua tofauti baina ya hawa vijana kutokana na vyuo wanavyosoma.
LAKINI hii haimaanishi kwamba kila aliye TEKU au chuo kingine cha binafsi ni kilaza, LA HASHA. Kuna watu wanatoka kwenye hivyo vyuo na wako safi...na pia kuna walimu wa kutoka UDSM na campus zake ni vilaza wa kutosha tu.
HATA HIVYO tofauti ya vyuo haikwepeki bandugu, na ndio maana hata entry points zipo tofauti. Hii sio kwa bongo tu hata kwa wenzetu waliotutangulia ‘prestigious colleges’ zipo. Huwezi kuwa kilaza ukaingia Yale, Harvard, Stanford au Columbia University kwa Marekani. Au ukawa mbugila mbugila halafu utegemee kuingia Oxford au Cambridge kwa UK...no way!
 
cheki mlivowaongo na msiojiamin,udsm mtu yeyote anayepata 1st class ya uchumi huwa anabakishwa chuon na kusomeshwa masters bure na akimaliza huwa anaajiriwa BOT,sasa huyo unaesema alikua na GPA ya 4.5,huko alitokea wapi?jipangeni na hvyo vyuo vyenu vya uchochoroni!

ngoja nipime IQ yako,hebu niambie mtu mwenye 1 ya 5 na anataka kusoma petroleum engineering atakiwa kuwa chuo gani?
 
Jamani kwa mliomaliza kidato cha sita kuanzia mwaka 2003 kurudi nyuma mtanielewa kirahisi katika hili.
Mnaweza kukumbuka jinsi ilivyokua shida kupata nafasi ya kusoma degree unapopata haya division two HASA KWA MASOMO YA ARTS, kwan wakati huo vyuo vilikua ni UDSM, MZUMBE, SUA, MUHIMBILI na UCLAS, ukiacha vyuo vya uhasibu na usimamizi wa fedha ambavyo vingi vilikua vinatoa diploma na advanced diploma. Hakukua na bodi ya mikopo kama sasa ukienda huko kwingine wajijua mwenyewe kwa kila kitu. Nina ushahidi wa rafiki zangu waliokosa nafasi mlimani kwa kuwa walikua na division 2.
Lakini leo hii kuna wanafunzi wapo TEKU wana principal 1 (moja tu) tena ambayo ni E! Je unaweza kwenda University of Dar es Salaam kwa principal moja? Hapo ndipo dharau kwa vyuo inapoanzia, i.e. aina ya wanafunzi wanaopelekwa huko. WANAJAMVI TUWE WAKWELI, NA TUWEKE UNAZI NA VYUO VYETU PEMBENI......Je huyu mwalimu aliyepata S.S.E kwenye mtihani wa kidato cha sita hata baada ya ku-reseat atakua na uwezo wa kuwapa watoto kile kinachostahili? Kuna watu wanasoma degree kwenye baadhi ya vyuo sasa hivi, wakati siku za nyuma hata nafasi ya kusoma diploma wangehaha kupata. Hapa ndipo unapokuja utata.
Jingine ni aina ya walimu, kabla ya TCU kuja na sera za kuweka kiwango cha GPA kwa walimu wa vyuo vikuu kuna vyuo vilikua vinaajiri watu wasio na sifa kuwa wahadhiri wa vyuo vikuu. Sasa mwalimu kilaza lazima azalishe mhitimu kilaza, na kama mwalimu wako ni kilaza. Unakuta mwanafunzi wa chuo kikuu hajawahi kufundishwa na mwalimu mwenye PhD au aliyefikia ngazi ya Profesa hata mmoja mpaka anamaliza chuo, sasa unategemea ataongea nini mbele ya mwenzake aliyefundishwa na maprofesa wenye machapisho ya kutosha?
Njooni mashuleni mtaona vituko kuna walimu wanakataliwa madarasani na wanafunzi tena kwenye shule za sekondari kisa wapo shalo....ni weupe! Pia, hawa vijana wakija field mashuleni hakika utaona tofauti miongoni mwao hata uwezo wa kujiamini na kujichanganya. Nadhani hata makazini huko kwenye sekta zingine pia unagundua tofauti baina ya hawa vijana kutokana na vyuo wanavyosoma.
LAKINI hii haimaanishi kwamba kila aliye TEKU au chuo kingine cha binafsi ni kilaza, LA HASHA. Kuna watu wanatoka kwenye hivyo vyuo na wako safi...na pia kuna walimu wa kutoka UDSM na campus zake ni vilaza wa kutosha tu.
HATA HIVYO tofauti ya vyuo haikwepeki bandugu, na ndio maana hata entry points zipo tofauti. Hii sio kwa bongo tu hata kwa wenzetu waliotutangulia ¡®prestigious colleges¡¯ zipo. Huwezi kuwa kilaza ukaingia Yale, Harvard, Stanford au Columbia University kwa Marekani. Au ukawa mbugila mbugila halafu utegemee kuingia Oxford au Cambridge kwa UK...no way!

clear analysis,ila unafikiri kuwa wale wote wanaopata dvsn 1 na 2 wapo ud na vyuo vingine vinaachiwa dvsn 3? Je unafikiri mtu katika kusoma anachopenda anaangalia chuo au anachotaka kipo chuo gan?mf ud bado hawatoi baathi ya coz nying petrol eng,international business,agromechanics n.k je watu wenye ufaulu mzuri hawaendi kusoma kwenye ivyo vyuo vingine na wakaitumikia jamii?
 
Ubora wa vyuo unategemea wahadhili wake kwa idadi na usomi wao, vifaa, uzoefu, nk. Ndio maana duniani kote vyuo hupangwa kwa rank. Usitemee Harvard kiwe na hadhi moja na Michigan (USA) pia Oxford hakiwezi kuwa hadhi moja na LOAS (huko Uingereza). Jomokenyata hakiwezi kuwa sawa na Ergaton (huko Kenya) nk nk. mfano hapa kwetu, UDSM kina rank ya 13 kwa ubora kusini mwa Sahara.

Kuna vyuo hapa nchini vina madaktari 3 tu. Chuo kama hicho hakiwezi kufanana na Mzumbe chenye madaktari 23. UDSM kina maprofesa na Madaktari wapatao 800 hakiwezi kuwa sawa na MuM.

Pia ukubwa wa chuo kitaaluma ni kuona kinatoa shahada, uzamili na uzamivu kwa idadi kubwa.wakati vyuo vingine havijaruhusiwa kutoa shahada za Uzamili na Uzamifu
.

ni sawa kuwa vyuo haviwez kufanana kwa ubora,je wanaoenda katika vyuo vingine kwa coz tofauti tofauti ndo wanaufaulu mdogo au elimu wanayopewa ndo ya kiwango cha chini?je unadhani ni kwa coz zote zinazotolewa ud wahitimu waka wako compitent na katika vyuo vingine wote wapo shallow?je ni kweli kuwa mwanafunz anayefundishwa na mlm anayemaliza ud anafaulisha sana kuliko vyuo vingine?kama ndiyo je inamaana shule kama haina mwlm wa ud haina kiwango kizur cha ufaulu?je unafikiri wanaosoma education ud wote wana 1 na 2 na vyuo vingine zote ni 3
 
Kaka kama kirejea kwenye jibu langu utaona nimetoa angalizo kwamba si kila anayesoma chuo cha serikali ana uwezo na si kila anayekwenda vyuo binafsi hana uwezo au hana matokeo mazuri...ila kama msomi nadhan unajua kwenye research unatafuta sample ambayo ukipata majibu uanayojirudia basi unaweza kutngeneza theory. Hilo ni la kwanza, pili kwa aina ya kozi hiyo ni factor iliyoko wazi kabisa na hakuna aliyrbisha maana kuna kuna course zinapatikana kweny vyuo binafsi tu, so ni lazima mtu akasome kul hata kama hapndi. Ila kumbuka mjadala ulikua kweny ualimu zaidi...Na ndipo tujikite.
Jumapili njema

Suala hapa ni Degeree na Mshahara, wadau wengi wameanza kushindanisha vyuo walivyosoma which is good anyway.

Kwa uelewa wangu, mshahara utaangalia career history yako, makampuni uliyofanya nayo kazi na mshahara wako wa sasa.

Kuhusu vyuo, watakwambia kiwango cha elimu wanachotaka kutoka kwenye chuo kinachotambulika.

Itakua na mantilki sana kama watu watakua wanajisifia vyuo walivyosoma kwa kwa ufanisi wa kazi maofisini.

Basically sioni uhusiano wa moja kwa moja wa cheti chako ni cha wapi na mshahara, japo kuna baadhi ya waajiri wako very specific.
 
Ni uwezo binafsi wa mwanafunzi aliyehitimu ndio humuwezesha mhitimu kuajiriwa au kuperfom vizuri kazini.
ingawa wapo baadhi ya waajirri pia wanaangalia aina ya chuo ulichosoma kwanza. Rank ya ubora wa chuo chako pekeyake haitoshi kukufanya uajiriwe au kuperform vizuri kazini.Ndio maana kwenye interview mnaitwa wote vyuo mchanganyiko kupatikana mbivu na mbichi.
 
hapa umefunga mjadala
 
we waache tu hao UD hawajajua kwenye kozi za engineering hawawafikii DIT kwa kutoa maengineer ambao wako fiti practically! Wao wamebaki na uengineer wa kwenye makaratasi.

Guys Hii UD inawapa tabu sana, Imekuwa tena kama siasa ama kweli vijana mumepoteza muelekeo, u should know kuwa UD is the state University though it can not produce 100% competent graduate but more than 80% but other University including u'rs can only give about 20% competent graduate this is what is found even in the Market.
 
Suala hapa ni Degeree na Mshahara, wadau wengi wameanza kushindanisha vyuo walivyosoma which is good anyway.

Kwa uelewa wangu, mshahara utaangalia career history yako, makampuni uliyofanya nayo kazi na mshahara wako wa sasa.

Kuhusu vyuo, watakwambia kiwango cha elimu wanachotaka kutoka kwenye chuo kinachotambulika.

Itakua na mantilki sana kama watu watakua wanajisifia vyuo walivyosoma kwa kwa ufanisi wa kazi maofisini.

Basically sioni uhusiano wa moja kwa moja wa cheti chako ni cha wapi na mshahara, japo kuna baadhi ya waajiri wako very specific.

thanx bro
 
Kaka kama kirejea kwenye jibu langu utaona nimetoa angalizo kwamba si kila anayesoma chuo cha serikali ana uwezo na si kila anayekwenda vyuo binafsi hana uwezo au hana matokeo mazuri...ila kama msomi nadhan unajua kwenye research unatafuta sample ambayo ukipata majibu uanayojirudia basi unaweza kutngeneza theory. Hilo ni la kwanza, pili kwa aina ya kozi hiyo ni factor iliyoko wazi kabisa na hakuna aliyrbisha maana kuna kuna course zinapatikana kweny vyuo binafsi tu, so ni lazima mtu akasome kul hata kama hapndi. Ila kumbuka mjadala ulikua kweny ualimu zaidi...Na ndipo tujikite.
Jumapili njema

thanx for you time brother
 
Ni uwezo binafsi wa mwanafunzi aliyehitimu ndio humuwezesha mhitimu kuajiriwa au kuperfom vizuri kazini.
ingawa wapo baadhi ya waajirri pia wanaangalia aina ya chuo ulichosoma kwanza. Rank ya ubora wa chuo chako pekeyake haitoshi kukufanya uajiriwe au kuperform vizuri kazini.Ndio maana kwenye interview mnaitwa wote vyuo mchanganyiko kupatikana mbivu na mbichi.

great thinker,nafikiri wanaoelewa watakuelewa.thanx
 
Guys Hii UD inawapa tabu sana, Imekuwa tena kama siasa ama kweli vijana mumepoteza muelekeo, u should know kuwa UD is the state University though it can not produce 100% competent graduate but more than 80% but other University including u'rs can only give about 20% competent graduate this is what is found even in the Market.

that means teachers from ud are the one who run the education of this country,and the school without even one teacher from ud it has a great chance of being in grassroot? What is the source of you data?what is your standing point about financial benefits of graduates from ud and other universities?dont you want to say dat a teacher from ud is paid higher than others from different universities?
 
baati nzuri nimefundishwa na prof,phd holder and master holder,sometime master holder deliver than prof and phd.

clear manifestation.that's where we come to the point of compitent and perfomance,so mwisho wa siku inategemea yule anayekufundisha anauwezo gan wa ku deliver despite ni prof au tutorial,HAKUNA CHUO TANZANIA WANAFUNDISHWA NA MA POF PEKEE BILA TUTORIAL ASSISTANCE NA ASSISTANCE LECTURER.Hata ud kuna matutorial wanaopiga pind darasani,
 
ni sawa kuwa vyuo haviwez kufanana kwa ubora,je wanaoenda katika vyuo vingine kwa coz tofauti tofauti ndo wanaufaulu mdogo au elimu wanayopewa ndo ya kiwango cha chini?je unadhani ni kwa coz zote zinazotolewa ud wahitimu waka wako compitent na katika vyuo vingine wote wapo shallow?je ni kweli kuwa mwanafunz anayefundishwa na mlm anayemaliza ud anafaulisha sana kuliko vyuo vingine?kama ndiyo je inamaana shule kama haina mwlm wa ud haina kiwango kizur cha ufaulu?je unafikiri wanaosoma education ud wote wana 1 na 2 na vyuo vingine zote ni 3

Nadhani swali lako linajibiwa vizuri kwa kuangalia wahitimu na viwango vya ufaulu kati ya wanaohitimu shule za kata na zile za St. Francis, marian nk.

Ubora wa wahitimu hutegemea pia ufundishaji wa wa wahadhili katika chuo husika.

unajua kizuri na chenye tbs kinajiuza siku zote ada ya kusomea sheria OXFORD ni tofauti na ya Manchenster Politan University huku UK.
 
Back
Top Bottom