Sasa ni MESSI,INIESTA na RONALDO...

Sasa ni MESSI,INIESTA na RONALDO...

1. Lionel Messi
2. Andres Iniesta
3. Xavi Hernandez
Ronaldo hakuna anachofanya, Euro 2012 katoka mtupu kama alivyoingia. Hata hao 3 bora Ronaldo wamempa tu.
 
Namkubali sana C.Ronarldo ila ningependa sana kama xavi Hernandez angekuwepo na achukue huo mzigo jamaa kafanya makubwa sana Hispania!
 
Namkubali sana C.Ronarldo ila ningependa sana kama xavi Hernandez angekuwepo na achukue huo mzigo jamaa kafanya makubwa sana Hispania!
 
mi nilidhni ronaldo wa ukweli de lima,kumbe huyu wa kichina bhana
 
messiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii a.k.a the megician.jamaa kila goli lake ni record duh
 
Kama ni kuhesabu kura basi humu JF Tu tayari Messi kachukua Mzigo hii inaonyesha wengi tunamkubali LM Hivyo Basi wengi wape
 
Angalia mechi ya Levante vs FC Barcelona ona jinsi Andreas Iniesta mwana wa Lujan alipo7bisha mabao yote 3,na yeye kufunga lake kali,na sasa ktk mechi zinazofuata utaona kasi yake itakapokuwa juu,maana kishaona katajwa ktk kugombea uchezaji bora ni balaa,Messi ni mzuri lakini safari hii itabidi ampe haki yake Iniesta aliyostahili 2010,maana kabeba na kachangia kiasi kikubwa Spain kubeba euro 2012,na mechi vs Levante imemfanya aonekane ni moto wa kuotea mbali.
 
gutierez, nakubaliana na wewe mwaka huu Andres Iniesta anastahili kubeba hii tuzo na akikosa safari hii sidhani kama ataibeba tena.Mwaka 2010 Wesley Sneijder ndio alistahili kuchukua hiyo tuzo
 
Last edited by a moderator:
Messi bado hajapata mtu wa kushindana nae mpakasasa na atabaki kuwa mchezaji bora wa dunia kwa sasa.
 
FIFA imewabakisha manguli watatu wa La Liga kugombea uchezaji bora wa dunia. Ni Lionel Messi aka Andunje,Andres Iniesta na Christiano Ronaldo. Wewe ungekuwa kocha,nahodha wa timu ya Taifa au mpigakura mwingine wa tuzo hii,ungempigia nani hapa?



Lionel Messi, deserve this 100%!!!
 
Mimi naipenda sana Madrid na nguzo yetu kubwa ni Ronaldo lkn katika hili niwe tu mkweli kuwa MESI ni wa kiwango cha juu sana na kila kukicha anadhihilisha hilo.
 
Mkuu aliyotoka mtupu euro ipi unayozungumzia?..kawaulize wadachi waliokuwa wanategemewa kuchukua ubingwa alichowafanya!...
Kwani Messi toka umeanza kumjua ameifanyia nn argentina?...
1. Lionel Messi
2. Andres Iniesta
3. Xavi Hernandez
Ronaldo hakuna anachofanya, Euro 2012 katoka mtupu kama alivyoingia. Hata hao 3 bora Ronaldo wamempa tu.
 
Wa kichina eeenh?..Ninamkubali Ronaldo zaidi ya Messi kwasababu anaweza kucheza peke yake bila kuchezeshwa hivyo sehemu yoyote ile Ronaldo anang'aaa Messi anang'aaa Barca tu tena ikiwepo migongo yake ya kumuweka mabegani vinginevyo anakuwa bonge la flop!..
ingekuwa de lima sawa,lakini ronaldo huyu wa kichina,mmh!
 
messi ana magoli 87 kwa mwaka huu 2012 ameshamfikia legend muller kwa idadi ya magoli mengi kufungwa kwa mwaka mmoja...huyu dogo messi ni balaa hana mpinzani
 
messi ana magoli 87 kwa mwaka huu 2012 ameshamfikia legend muller kwa idadi ya magoli mengi kufungwa kwa mwaka mmoja...huyu dogo messi ni balaa hana mpinzani
magoli 84,bado 1 afikie 85 aliyoweka Gerd Muller
 
Back
Top Bottom