2015 Chadema Isisimamishe Mgombea Urais

2015 Chadema Isisimamishe Mgombea Urais

Status
Not open for further replies.
Ukitazama hali ya siasa kwa sasa bila shaka utagundua kuwa chama tawala bado kina nguvu kubwa ambayo bado hakuna chama pinzani imara cha kuweza kupambana nayo
Chadema ndio angalau chenye nafuu kidogo kati ya vyote ila ushauri wangu kwa chama changu chadema ni kuwa kisahau kuhusu urais wa mwaka 2015 kwa kuwa bado CCM itashinda pasipo shaka yeyote

jeuri kubwa ya chama cha mapinduzi ni kuwa kina mtaji wake usio na mawaa wa watanzania wa vijijini amabao pasi na shaka wamejitolea utukufu wao kwa chama cha mapinduzi hivyo chadema hawana haja ya kutumia gharama na mudu mwingi kuwekeza katika nafasi ya urais isipokuwa wajipange vyema kwenye ubunge na udiwani
ni mwendawazimu pekee mwenye kuamini kuwa chadema ilishinda uchaguzi wa 2010
na itakuwa ni makosa tena kujipa moyo kuwa chadema itashinda tena uchaguzi wa urais 2015
badala yake chama kituandae vijana machachari ambao tumejipanga kwenda majimboni mwaka wa uchaguzi ili tuweze kuongeza idadi ya wabunge na kupata nguvu za kuwabana CCM kwenye mambo ya msingi bungeni badala ya kutumia rasilimali watu na fedha nyingi kumsapoti mtu mmoja kwenye urais ambaye matumaini ya ushindi ni sifuri

kwenye red hapo we mwenyewe umekubali kiaina
 
Dada mmoja ambaye ana tabia za kudowea waume za watu hapa mjini leo amekumbwa na kisanga cha kufungua mwaka

alikuwa anatembea na mwarabu mmoja ambaye alikuwa ana mke sasa jana ucku mke wa mwarabu alirudi ghafla kwa sababu inasemekana alikuwa amesafiri kwa muda ndipo akawafuma mume na hawala wakijivinjari bila mawaa alichafanya yule dada ni kutoa chupa na kumtandika nayo yule hawala
mimi ni shahidi namba moja wa tukio hilo

Sijapata kuona KILAZA kama wewe!!!!
inaonyesha ni jisi gani ulivyo na ugali kichwani badala ya ubongo
 
Ukitazama hali ya siasa kwa sasa bila shaka utagundua kuwa chama tawala bado kina nguvu kubwa ambayo bado hakuna chama pinzani imara cha kuweza kupambana nayo
Chadema ndio angalau chenye nafuu kidogo kati ya vyote ila ushauri wangu kwa chama changu chadema ni kuwa kisahau kuhusu urais wa mwaka 2015 kwa kuwa bado CCM itashinda pasipo shaka yeyote

jeuri kubwa ya chama cha mapinduzi ni kuwa kina mtaji wake usio na mawaa wa watanzania wa vijijini amabao pasi na shaka wamejitolea utukufu wao kwa chama cha mapinduzi hivyo chadema hawana haja ya kutumia gharama na mudu mwingi kuwekeza katika nafasi ya urais isipokuwa wajipange vyema kwenye ubunge na udiwani
ni mwendawazimu pekee mwenye kuamini kuwa chadema ilishinda uchaguzi wa 2010
na itakuwa ni makosa tena kujipa moyo kuwa chadema itashinda tena uchaguzi wa urais 2015
badala yake chama kituandae vijana machachari ambao tumejipanga kwenda majimboni mwaka wa uchaguzi ili tuweze kuongeza idadi ya wabunge na kupata nguvu za kuwabana CCM kwenye mambo ya msingi bungeni badala ya kutumia rasilimali watu na fedha nyingi kumsapoti mtu mmoja kwenye urais ambaye matumaini ya ushindi ni sifuri

Nazani ulitakiwa kuwe Mirembe!!!!! This rubish of the century i think.
 
Hahahahaa na bado utakuja na manenomaneno lakina masalia tumewakuzulia mbali, na bado tutashind 2015..hahaha a a najua inakera ila meza sie ndie chadema, atupendi ujinga. Hahaa
 
hata tajili anaefilisika hajui kama amafilisika wanaomwona ndo wanajua
 
Kama umefika hata darasa la tano ungekuwa na Akili,nadhani hata hapo kwa ulichoandika hujafika.
 
he.. na wewe ukitumwa kitu kiedit kabla ujaja mbiombio ka zuzu..mwisho wa ciku waonekana we ndo unatumia masaburi kufikiri kumbe aliokutuma ndo mjinga zaidi yako.
 
Mkuu Iron Finger, kutokana na hiyo post yako ni dhahiri wewe ni mmojawapo wa masalia na siajabu umesha shughulikiwa, otherwise subiri tutakufikia. Inaonyesha dhahiri Dr. Slaa anawanyima usingizi, hadi kufika 2015 mtakuwa wengi wenu mna pressure na stroke za kutosha. Baada ya propaganda zenu kushindwa mmeibuka na ushauri wa ki-pumbavu. Msiumize kichwa subirini majibu 2015, na mjiandae psychologically kuwa wapinzani.

Ni ukweli usio pingika hata waliokutuma wameshtushwa sana na post yako, hivyo basi wanakuita Lumumba ukachukue nauli urudi kijijini kwenu ukalime kwa sasa mvua zinanyesha sana, kwani kazi waliyo kutuma imekushinda.
 
Kama CCM ilivyokuwa na mtaji mkubwa Arumeru
 
ukitazama hali ya siasa kwa sasa bila shaka utagundua kuwa chama tawala bado kina nguvu kubwa ambayo bado hakuna chama pinzani imara cha kuweza kupambana nayo
chadema ndio angalau chenye nafuu kidogo kati ya vyote ila ushauri wangu kwa chama changu chadema ni kuwa kisahau kuhusu urais wa mwaka 2015 kwa kuwa bado ccm itashinda pasipo shaka yeyote

jeuri kubwa ya chama cha mapinduzi ni kuwa kina mtaji wake usio na mawaa wa watanzania wa vijijini amabao pasi na shaka wamejitolea utukufu wao kwa chama cha mapinduzi hivyo chadema hawana haja ya kutumia gharama na mudu mwingi kuwekeza katika nafasi ya urais isipokuwa wajipange vyema kwenye ubunge na udiwani
ni mwendawazimu pekee mwenye kuamini kuwa chadema ilishinda uchaguzi wa 2010
na itakuwa ni makosa tena kujipa moyo kuwa chadema itashinda tena uchaguzi wa urais 2015
badala yake chama kituandae vijana machachari ambao tumejipanga kwenda majimboni mwaka wa uchaguzi ili tuweze kuongeza idadi ya wabunge na kupata nguvu za kuwabana ccm kwenye mambo ya msingi bungeni badala ya kutumia rasilimali watu na fedha nyingi kumsapoti mtu mmoja kwenye urais ambaye matumaini ya ushindi ni sifuri

nakupongezaa kwa kufikiriii na matakooo ongezaa juhudiii kwanii ndio kazii yakooo utalipwaa unachoongeaaa
 
Ukitazama hali ya siasa kwa sasa bila shaka utagundua kuwa chama tawala bado kina nguvu kubwa ambayo bado hakuna chama pinzani imara cha kuweza kupambana nayo
Chadema ndio angalau chenye nafuu kidogo kati ya vyote ila ushauri wangu kwa chama changu chadema ni kuwa kisahau kuhusu urais wa mwaka 2015 kwa kuwa bado CCM itashinda pasipo shaka yeyote

jeuri kubwa ya chama cha mapinduzi ni kuwa kina mtaji wake usio na mawaa wa watanzania wa vijijini amabao pasi na shaka wamejitolea utukufu wao kwa chama cha mapinduzi hivyo chadema hawana haja ya kutumia gharama na mudu mwingi kuwekeza katika nafasi ya urais isipokuwa wajipange vyema kwenye ubunge na udiwani
ni mwendawazimu pekee mwenye kuamini kuwa chadema ilishinda uchaguzi wa 2010
na itakuwa ni makosa tena kujipa moyo kuwa chadema itashinda tena uchaguzi wa urais 2015
badala yake chama kituandae vijana machachari ambao tumejipanga kwenda majimboni mwaka wa uchaguzi ili tuweze kuongeza idadi ya wabunge na kupata nguvu za kuwabana CCM kwenye mambo ya msingi bungeni badala ya kutumia rasilimali watu na fedha nyingi kumsapoti mtu mmoja kwenye urais ambaye matumaini ya ushindi ni sifuri
Una hakika na unachokisema. Fanya utafiti kabla ya kufanya majumlisho!!
 
Watu wengi humu wanapenda mabadiliko na pia wanapenda chadema, ukweli utatuweka huru, chadema hawajaingia vijijini na kueneza sera zao, mfano sehemu kubwa ya mikoa ya Dodoma,iringa,rukwa,singida na tabora vijijini hawajafikiwa! Na mara zote ccm hushinda kwa kishindo vijijini kwa sababu huko wengi hawana elimu ya uraia. Pili chadema ingeanzisha media zake ingeweza sambaza elimu ya uraia kirahisi. Kushinda urais kutegemea mijini tu ni ndoto,kwa kiasi kikubwa naunga mkono hoja,vinginevyo wasikae ofisini kuanzia sasa!
 
Hii ni dhahiri sasa magamba mmeishiwa sera mnakuwa kama fisi anayemfuatilia Mtu adondoshe mkono. Jiandaeni tu kisaikolojia kuwa wapinzani kuliko kujisumbua wakati mmeshindwa kuwatumikia watanzania.
Ukitazama hali ya siasa kwa sasa bila shaka utagundua kuwa chama tawala bado kina nguvu kubwa ambayo bado hakuna chama pinzani imara cha kuweza kupambana nayo
Chadema ndio angalau chenye nafuu kidogo kati ya vyote ila ushauri wangu kwa chama changu chadema ni kuwa kisahau kuhusu urais wa mwaka 2015 kwa kuwa bado CCM itashinda pasipo shaka yeyote

jeuri kubwa ya chama cha mapinduzi ni kuwa kina mtaji wake usio na mawaa wa watanzania wa vijijini amabao pasi na shaka wamejitolea utukufu wao kwa chama cha mapinduzi hivyo chadema hawana haja ya kutumia gharama na mudu mwingi kuwekeza katika nafasi ya urais isipokuwa wajipange vyema kwenye ubunge na udiwani
ni mwendawazimu pekee mwenye kuamini kuwa chadema ilishinda uchaguzi wa 2010
na itakuwa ni makosa tena kujipa moyo kuwa chadema itashinda tena uchaguzi wa urais 2015
badala yake chama kituandae vijana machachari ambao tumejipanga kwenda majimboni mwaka wa uchaguzi ili tuweze kuongeza idadi ya wabunge na kupata nguvu za kuwabana CCM kwenye mambo ya msingi bungeni badala ya kutumia rasilimali watu na fedha nyingi kumsapoti mtu mmoja kwenye urais ambaye matumaini ya ushindi ni sifuri
 
Huu ushauri utakuwa wa maana sana kama utampatia Nyanya yako!
 
mbona unajiamini sana mkuu, ukweli cdm haijapenya maeneo mengi vijijini ambako ccm wanawarubuni wananchi kwa sababu ya kukosa elimu ya uraia,maeneo kama dodoma,tabora na hata singida.
 
Ni kweli ili wapambane na ubunge...hailipi ukiwa na raisi na wabunge 30 katika bunge la wabunge 300.
 
mtoa mada ni agent wa ccm.hivi mkijua kusoma na kuandika na nyie lazima mchangie mawazo? JF siku hizi imeingiliwa sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom