Tatizo: Sisimamishi uume toka form 2

Pole sana, ndoto nyevu unapata?
Ulitembea (sio kwa miguu) na mke wa mtu au ulimlaghai binti wa watu ukamtosa???
 
Nenda kwa Lusekelo au makanisa ya wokovu hasa kwa nabii FLORA kule mbezi/tegea utapona
 
Sasa umejuaje hausimamishi kama haujawahi kuwa na girlfriend? Huwezi jua huenda ukimpata Huyo girlfriend kitu kikasimama wima.



labda alikua anajaribu kupiga mkono ndo akagundua tatizo. Dunia hii ya Mola.........lolote laweza kutokea.
 
Pole mkuu, Hata Dawa zile zinazotangazwa na akina Dr Manyaunyau zimeshindwa?? Na zile za Masai je?? Aisee ploe its a big challenge to go throough as a Man, but as many have advised please consult your DR.
 
Mazee kesi kama hii ishamtokea kaka mmoja ila yeye chanzo chake ni kwenda mkoani ktk msiba alipofika usiku mmoja akapata msichana akaenda kufanya nae kale kamchezo. Jamaa alitumia mpira wa kiume miwili ila alipoamka asubuhi akuikuta ile mipira michafu pale alipoweka chini ya uvungu.Akamuuliza yule binti vipi ile mipira imekwenda wapi? Binti akasema hajui.

Bro akumaindi sana coz alijua labda panya wamebeba. Next day akarudi dar,sasa mambo yakaanza pale alipotaka kubanjua ile kitu na msichana wake wa dar ambaye yuko naye miaka zaidi ya mitatu. Jogoo likagoma kuwika jamaa akawa hana hili wala lile. Labda akajua wasiwasi au mawazo kozi alikua kampoteza mama yake mzazi muda si mrefu.

Kilichomsaidia ni kuja maskani anapofanya kazi na kuwaeleza watu pale ndipo ufumbuzi ukapatikana toka kwa mtaalam mmoja wa miti shamba.Hii ilikua imekwishapita zaidi ya miezi mitatu toka litoke tatizo lake kwa mara ya kwanza. Tatizo lako hatujui chanzo labda ufunguke zaidi mkuu.Binafsi sijaweka tumaini langu kwa wataalam wa mitishamba hata kidogo. Ila nimejaribu kuweka true story ya jamaa yangu mtanzania ambaye alipata tatizo kama lako.
 
Jamani tatizo si linajulikana; haisimami!

sasa itasimama bila kisimamio? kuna watu wamemwambia alishatembea na mke wa mtu au kashawahi kuchezea kabinti ka watu? ila hawa wanawake ni nomaa ukimuacha kizembezembe lazima ai-@boflo dushelele
 
Ushawahi ona msikiti wanaombea wagonjwa?ukienda huko utatupiwa majini tu

Wenye akili zao wanachangia hoja zenye maana. hapa ndio wajiona umeongea vizuri kumshauri huyu member eh!

Misikitini pia tunaombeana dua, mbali na kufanya ibada ya swali pia kwenda misikitini ni pamoja na kujiweka mbali na vitimbi vya majini/shetani.
Ukiambiwa nawe jiambie huu ni ulimwengu wa watu wenye akili sio wa kuambiwa kila kitu na kukubali, hayo unayosema
yana impact kubwa hapa kwenye forum usiwe na mawazo finyu!
Rejea katika post huko nyuma kuna member amemshauri mlengwa aende kanisani au kwa masheikh wazoefu wa dili na mambo yahusuyo mashetani au majini kama usemavyo! lakini jua kwamba mashetani na majini ni tofauti kitabia
 
Kwa kweli watu wengne wanaleta kejeli juu ya tatizo la jamaa yetu,zaidi tumtie Moyo maana fikiria kama ndio unalo wewe utakua unajickiaje? pole ndugu zaidi stick na maombi na Mungu atakuisaidia ndugu yangu
 
Pole sana mkuu, Yote ni mipango ya mungu, fanya utaratibu ujiunge na hutuduma za kitume kama upadre

Padre lazima awe rijali. Lazima awe mkamilifu, ili aingie upadre kwa sababu ya wito, na si kwa sababu ya mapungufu na madhaifu ya kimwili. Padre anapaswa kuwa mseja si kwa sababu hawezi kuoa, bali kwa sababu ana wito wa kuwa mseja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom