Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
You mean V4C? V stands for Vespa.
Matumizi ya helkopta ni makubwa sana safari tatu za hizo helkopta zinajenga visima vya maji vitatu. Kwa nini msiwapelekee wananchi hizo pesa kwa kupitia miradi, safari moja ya helkopta unajenga madarasa mawili.
Mi nawashauri watumie michango ya wananchi pia kuibua miradi ya maendeleo na kutatua kero ambazo CCM imeshindwa kuzitatua.
Kwa mfano, asilimia 50 ya michango ya wananchi iwarudie wananchi wenyewe kwa kuboresha miundo mbinu hospitalini, kusambaza huduma za maji, kujenga nyumba za watumishi kwa mfano walimu na madaktari.
Naamini kwa kufanya hivyo, kwanza wataonesha nidhamu ya pesa za walipakodi, na miradi mingi itasimama kwa pesa kidogo huku ubora wa miradi ukishinda mbali ile iliyosimamiwa na serikali ya CCM.

Hapo ndipo Chadema mnapokosea mnataka kupita anakopita CCM.
Matumizi ya helkopta ni makubwa sana safari tatu za hizo helkopta zinajenga visima vya maji vitatu. Kwa nini msiwapelekee wananchi hizo pesa kwa kupitia miradi, safari moja ya helkopta unajenga madarasa mawili.
Mi nawashauri watumie michango ya wananchi pia kuibua miradi ya maendeleo na kutatua kero ambazo CCM imeshindwa kuzitatua. Kwa mfano, asilimia 50 ya michango ya wananchi iwarudie wananchi wenyewe kwa kuboresha miundo mbinu hospitalini, kusambaza huduma za maji, kujenga nyumba za watumishi kwa mfano walimu na madaktari. Naamini kwa kufanya hivyo, kwanza wataonesha nidhamu ya pesa za walipakodi, na miradi mingi itasimama kwa pesa kidogo huku ubora wa miradi ukishinda mbali ile iliyosimamiwa na serikali ya CCM.[kumbuka hawana serikali
Vijisentivilivyoko Uswisi vinaweza kuweka mitandaoya mabomba ya maji safi na salama kwa kaya ngapi katika nchi hii achilia mbali vijiji na miji?Matumizi ya helkopta ni makubwa sana safari tatu za hizo helkopta zinajenga visima vya maji vitatu. Kwa nini msiwapelekee wananchi hizo pesa kwa kupitia miradi, safari moja ya helkopta unajenga madarasa mawili.