Jumba linauzwa bei powa

Jumba linauzwa bei powa

Mkuu Nyumba imetulia ile mbayaa... kwann inauza???

nilimuuliza hilo swali akaseme wakati anajenga hakuna mtu alimuuliza kwa nn unajenga sasa anashangaa anauza anaanza kuulizwa maswali. Mkuu watu wanauza asset zao kwa sababu nyingi ambazo hazitoshi kuandikwa hapa
 
wewe sio Mtanzania? Haiyumkiniki huifahamu Mbagala, imeimbwa na mwanamuziki wa Bongo flavor, na juzi tu imeingia kwenye ramani ya dunia baada ya baadhi ya Waislamu kuvamia na kuharibu Makanisa.

Huyo mleta bandiko anasema 85 milion ni bei poa!!??
Nyumba yenyewe iko Mbagala! Jamani, tuwe tunajifikiria mara mbili mbili kabla ya kutamka bei.

Hujui nyumba ndiyo maana unaona siyo bei poa. Hata kama siyo bei unaweza kulia kubagain mkaelewana.
 
Jenga uzaa huyo, kila kitu kimechakuchuliwa. Ndani ya mwaka moja kwishineee. Nani asiye wajua nyinyi jenga uza
 
wewe sio Mtanzania? Haiyumkiniki huifahamu Mbagala, imeimbwa na mwanamuziki wa Bongo flavor, na juzi tu imeingia kwenye ramani ya dunia baada ya baadhi ya Waislamu kuvamia na kuharibu Makanisa.

Huyo mleta bandiko anasema 85 milion ni bei poa!!??
Nyumba yenyewe iko Mbagala! Jamani, tuwe tunajifikiria mara mbili mbili kabla ya kutamka bei.

Kma huna hela keep quiet, kwan ulitaka iwe wapi ndio uambiwe 85M, kanunue masak na kwingineko wanako nunua wenye Visent kama akina Waziri Maige USD 450,000-700,000M

Mm nachukia mtua anaye jifanya anadharau baadhi ya maeneo, ili hali hajawahi kujenga hata choo!!! Akifa leo msiba wanahani kwa Jirani Watanzania badiliken na Muache dharau maana nyie ni maskini otherwise UFISADI hauwezi kuisha coz guys dream and expectation is different from their income! They expect high but earn low, be a greater thinker.
 
Hujui nyumba ndiyo maana unaona siyo bei poa. Hata kama siyo bei unaweza kulia kubagain mkaelewana.

Yawezekana Mkuu, nimeona bei ya nyumba za NHC pale Upanga hadi nimeogopa. Flat ya 3 bedrooms, eneo hakuna, msongamano wa kutisha wanauza milioni 250+ bila VAT!
 
Nice pad by TZ standards (despite the carnival color), but "jumba" is probably stretching it.

More like jumba's outhouse. Unless of course you are looking at it relative to a one room shack.
 
mbona mkali sana dadaangu
wewe lazima utakuwa mwanauamsho
mwalimu mzuri ni yule anayemuelekeza mtu
sio kubwatuka kama hujanunuliwa nguo za idd[
QUOTE=Wimana;4905232]wewe sio Mtanzania? Haiyumkiniki huifahamu Mbagala, imeimbwa na mwanamuziki wa Bongo flavor, na juzi tu imeingia kwenye ramani ya dunia baada ya baadhi ya Waislamu kuvamia na kuharibu Makanisa.

Huyo mleta bandiko anasema 85 milion ni bei poa!!??
Nyumba yenyewe iko Mbagala! Jamani, tuwe tunajifikiria mara mbili mbili kabla ya kutamka bei.
[/QUOTE]
Hope we umefikilia mara 2 aaah tuuze bei gani?
 
mtanzania asipokuwa na ela ya kununua kitu uwa ana maswali mengi na kujifanya nataka sitaki.
 
Kwa ghalama za ujenzi za sasa hiyo bei siyo mbaya sana ila tatizo ni location, maji matitu mbagala
 
Maji matitu mbagara nawashauri tembeleeni maeneo haya , wengi mnamtazamo usio sahihi haya maeneo ni mazuri fika uone
 
Humu tatizo watu wamekariri maeneo, ndo maana wanajifaragua tu.kama hampajui majimatitu si mkae kimyaa tu mbona kipindi mbezi inakua mlikuwa mnajifagua eti porini leo kila mtu anapataka. Ikaja kigambon kila mtu alikuwa anapakwepa leo mnajifanya
Mnapafagilia. Achen dharau kwani Wanaoishi mbagala ni nyani? Hiyo bei ndogo sana kuna mshikaji wangu kauza pagara mitaa ya huko kwa mil. 40
Bila geti wala fence. Mnakera saana nyinyi watu
 
Maji matitu mbagara nawashauri tembeleeni maeneo haya , wengi mnamtazamo usio sahihi haya maeneo ni mazuri fika uone
Achana nao hao wanajifanya wajuaji wakiwa nyuma ya keyboard ndo maana wanuziwa magofu masaki kwa bei ya kutupwa wakat kuna maeneo mazuri na kuna nyumba za kufa mtu
 
NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO
  • Kiwanja kimepimwa sqm 1092 kina offer
  • Vyumba 4 vya kulala 1 master
  • Juu gypsum
  • chini cement ya kawaida
  • ina store, jiko , sehemu ya kula chakula.
  • imezungushiwa ukuta mkubwa, umeme upo .

haina tiles, geti kubwa , haijawekwa zege hapo nje ( jamvi )

Ipo mbagara maji matitu, tuwasiliane 0657 145555 , 0755 099 291 & 0686 200 117
inauzwa 85m.
View attachment 69366 View attachment 69367 View attachment 69368 View attachment 69369 View attachment 69370
Wasikubabaishe bei ndogo sana kwa maeneo hayo
 
Sio karibu na kambi ya jeshi? maanayake yakirindima mabomu uzuliwanyumba wote unaisha!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom