Lowassa akiwa Rais...

kwa kuwa mada yako umeelekeza kwa wasiompenda, binafsi namkubali ile mbaya, wasimkubali nawashauri wampinge kwa hoja, hata nyerere alishtakiwa na wakoloni, mwisho akawa rais wa tz, mandela alifungwa jela mwisho akawa rais wa south africa, zuma alikuwa na kashfa kibao mpaka leo ni rais wa south africa .mpaka leo najiuliza kwanini ile tume ya richmond kwanini haikumuhoji? binafsi naamini shida zote tunazopata watanzania leo hii ni kutokana na ile tume .

nimefikiria nimeona ukiwa na reasoning kama yako ndiyo utampenda EL kama Rais wako. Huwezi kufananisha Mandela na mfumo aliokua anapingana nao same as Nyerere na mazingira ya utawala wa wazawa na mfumo wa demokrasia uliopo. Lowassa sana sana anafanana na Zuma na Zuma ni failure S.A. Uadilifu wa Zuma haukua mzuri toka mwanzo na nchi imemshinda.

Uongozi ni uadilifu first and foremost, na kama Ufisadi (unaopoteza ari na maadili ya kazi, kuzawadia ubinafsi wa kupindukia na kudumaza jamii nzima) ni changamoto namba moja hapa tanzania kwa nini tumpe ofisi kubwa kabisa mtu ambaye hata siku moja hawezi kukemea ufisadi kwa sababu ya kua yeye ni mnufaika mkubwa wa mfumo huo na ndiyo ulimosaidia kuingia madarakani?

fikiria kwa makini kijana ( kama hauna mirija uliyoitega na Urais wa Lowassa)
 
Habari wakuu,

kutokana na upeo wangu wa kisiasa niliokuwa nayo, kama ccm watampitisha Lowasa kuwa Mgombea wa kiti cha uraisi,

Yafutayo yatatokea kwa upande wa chadema.

1. Itakuwa Raisi sana kwa chadema kushinda nafasi ya uraisi ,bcoz Shutuma zinazomkabili Lowasa ,ziko wazi kwa karibu watanzania wote hadi vijijin. kashifa hizi nzote zimewafikia wananchi karibu Tanzania nzima.

2. Chadema itakuwa juu bcoz Vyombo vya habari vimesaidia kuwaeleza watanzania ukweli juu ya ufisadi hasa wa Richmond.wananchi wengi watajua kwamba option yao ni Chadema.

3.M4C ya chadema nayo imesaidia mpaka Lowasa kila atakapopita na kuonekana ni Fisadi mkuu.So chadema bado itakuwa juu.

4. Chama cha mapinduzi (CCM) nacho kimesaidia kumchafua Lowasa kupitia ,suala zima la KUJIVUA GAMBA hasa wakimlenga Lowasa kuwa yeye ndiyo Gamba. Mkuu Nape akiwa ndio kiongozi mratibu wa suala hilo.

5. Makundi ya CCM ,na Visasi visivyoisha juu ya wanachama na makada wa CCM. Hasa makundi ya akina Lowasa,Membe na Sita pamoja na mwakyembe. vitasaidia kuupa ushindi Chadema.

5. wananchi wa sasa wana uwelewa mkubwa sana ukilinganisha na miaka ya nyuma, jinsi inchi inavyoendeshwa na wamechoka na ufisadi wanataka mkombozi, ambabo chadema ndiyo inaonekana ndiyo Solution ya mwisho.

6.Shutuma za rushwa zinazoendeshwa kwenye uchaguzi wa ndani ya CCM ,nazo zitasidia kumwangusha Lowasa kwa sababu wananchi wanajua kwamba Lowasa ndiye anaratibu mambo yote ya Rushwa kwenye chaguzi za ndani za ccm.

Huu ni muono wangu ndugu zangu,nawakilisha.

ndiyomkuusana@yahoo.com
 
Hakitatokea kitu kwani hawezi na hatoweza kuwa rais labda wa tz wote tuwe tumekufa na hata akirudi nigeria hatofanikiwa.
 
good!na ndo ukweli,hutaki unaacha
 
maneno ya walioshindwa yatakuwa jamaa kanunua kura, jamaa fisadi. lkn ukweli utasimama jamaa anakubalika jamaa anajituma toka kwenye familia mpaka taifa kiasi amekuwa MFANYABIASHARA MKUBWA, MKULIMA MKUBWA, MFUGAJI MKUBWA NA MWANADIPLOMASIA MKUBWA . hivyo hayo yote akiyahamishia kwenye vichwa vya watanzania wenzangu lazima TUPAE tutaacha tabia za kumuona mtu amefanikiwa kimaisha kuwa MWIZI, FISADI au FREEMASON vile vile tutaacha tabia za kusingizia kulogwa au kulishwa sumu tunapougua na tutawakataza wale wote wanaotumia maradhi ya wenzao kisiasa. wito viongozi tumieni fursa mlizonazo muache majungu.
 
Ambagae unashangaa kimombo cha Goldman wakati waziri wa elimu anasema Tanganyika iliungana na Zimbabwe na Pemba sasa hapo unategemea nini? Tunajidanganya kusema kuwa Lowasa atakosa kula kwa sabbabu ya kutoa rushwa, watanzania ni wasahaulifu na wanauwezo mdogo wa kuikumbuka kesho, tazama uvccm wamepewa rushwa wakawachagua watoto wa vigogo baadae wanalaumu, mama zetu watapewa kanga, vilemba na kapelo watashangilia na kuona hakuna kama yeye. Masikini tunaona bora apate tajiri kuliko kumpa masikini mwenzio maana akifanikiwa atakucheka. Walugulu wana usemi maarufu 'Kozopata kazondiga kazokuwa ka nene' wakimaanisha atapata atakuwa kama mimi na kunitukana kwa hiyo bora asipate.
 
Semeni yote lakini Lowassa atabaki kwangu kama mwana-ccm pekee kwa sasa mwenye uthubutu wa kutenda na kufuatilia utekelezaji wa kile anachoamini kina manufaa kwa wananchi kwa ujumla wao. Siyo huyu anayechekacheka tu hata misibani.
 
Akiwa rais bora nikaishi mogadishu.

Nitawaongoza vijana kwenda msituni.Nakuhakikishia kwa mara ya kwanza Tanzania itazalisha guerrila movement.Sitakuwa tayari kuongozwa tena cartel ya mafisadi kwa hila.Maneno haya yabaki hapa JF,watch this space!
 
kiongozi mwenye Nia Safi na dhati hawezi kutumia nguvu kubwa kama jamaa kutaka kuingia Ikulu, Endapo Lowasa akiwa rais basi tutegemee kuona nchi ikiongozwa kwa visasi zaidi, Ikulu ikihalalishwa kuwa Machinga Complex, Rushwa ikihalalishwa, Ndugu zangu kwangu mm binafsi sioni nia njema ya huyu jamaa kwa waTz
 
Ikulu ataisikia tu labda katiba mpya ikipitishwa kiongozi wa kambi ya upinzani apewe ikulu ndogo.
Ataishia kuukwaa uenyekiti wa CCM tu
 
Huyo mtu anatafuta maslai yake binafsi na sio ya wananchi kwa ni mwizi mkubwa anatakiwa haraka apelekwe mahakamani nasikitika hata kuona analindwa na kuheshimika kiasi hiki na ccm,fisadi anatamba na anajenga mitandao wezi ndani ya chama ili kuja kufirisi nchi hii,kweli tuna kila sababu ya kuing'oa ccm mapema
 
Usisahau.....tanzania kuwa na mikoa 120....ili muweze kupata nafasi za kazi za kisiasa....
 
Kumekuwa na dhana ya kumpinga huyu kwa kila afanyacho na hii yote ni kutokana kashfa zinazo mtafuna hasa Richmond ambayo ili mpelekea akajiudhuru u PM.
Tuwe wawazi wana JF WOTE HUMU JUKWAANI MTACHUKUA hatua gani endapo CCM itampitisha Mh.Edward Lowasa kuwa Mgombea wa kiti cha Urais 2015 Akashinda na kuwa Rais?

Nyie Wote ambao hamko upande wake na wala hamtamani nchi hii kuwa Mikononi mwa EL mtachukua maamuzi gani?

1] Je mtaunda vikundi vya kupingana na utawala wake?
2] Mtamsaidia kwa ushauri kulisukuma taifa hili mbele kimaendeleo?

Fungukeni tujue isije ikatokea kuwa na vikundi vingi vya UAMSHO,vitakavyokuwa na mlengo wa kushoto.

Mods naomba msiitoe hii thread lengo ni kupenda kufahamu na kuelewa kama El,atakuwa Rais atakutana na changamoto.

This Rubish!

Ww ni nani unataka kujua haya, so far ukisha jua msimamo wa wana JF wasio msupport then utachukuwa hatua gani?? Guy be a geater thinker.
 
No.2 mkuu
Kumekuwa na dhana ya kumpinga huyu kwa kila afanyacho na hii yote ni kutokana kashfa zinazo mtafuna hasa Richmond ambayo ili mpelekea akajiudhuru u PM.
Tuwe wawazi wana JF WOTE HUMU JUKWAANI MTACHUKUA hatua gani endapo CCM itampitisha Mh.Edward Lowasa kuwa Mgombea wa kiti cha Urais 2015 Akashinda na kuwa Rais?

Nyie Wote ambao hamko upande wake na wala hamtamani nchi hii kuwa Mikononi mwa EL mtachukua maamuzi gani?

1] Je mtaunda vikundi vya kupingana na utawala wake?
2] Mtamsaidia kwa ushauri kulisukuma taifa hili mbele kimaendeleo?

Fungukeni tujue isije ikatokea kuwa na vikundi vingi vya UAMSHO,vitakavyokuwa na mlengo wa kushoto.

Mods naomba msiitoe hii thread lengo ni kupenda kufahamu na kuelewa kama El,atakuwa Rais atakutana na changamoto.
 
Watanzania tukumbuke maneno ya mwalimu Nyerere (nadhani alikuwa nabii pia,sijui) kwamba mtu anayetumia fedha kutaka kwenda ikulu mtu huyo niwa kumwogopa kama ukoma. Watanzania tumwogope EL kama ukoma. Tumesoma, tumesikia na wengine tumeona jinsi jamaa anavyotumia fedha kutaka kwenda ikulu. Ikulu panapaswa kuwa patakatifu...na pasafishwe pawe hivyo. Pale siyo pango la wanyang'anyi.

Ikitokea tukamchagua EL kuwa prezidaa wa TZ, watu huko nje watauliza hivi hawa jamaa hawakuwa na mtu mwingine isipokuwa huyu? Yamkini watu wa taifa hilo ni walamba rushwa walioshindikana.Hakuna mwenye nafuu. (unafahamu hata katika kundi la wapumbavu lazima awepo kiongozi) kwa hiyo, itakuwa kiongozi wa wala rushwa ni huyu, duh! Sipati picha.

Siku akikemea rushwa na ufisadi itabidi avae miwani ya mbao. Kwa kweli atakuwa hana budi kuvaa miwani ya mbao.
 
Yeye ndio kinara wa rushwa ndani ya magamba, kamwe hatathubutu kuikemea rushwa. Umemsikia DHAIFU akichukua hatua zozote za kisheria dhidi wa wapokea na watoa rushwa ndani ya magamba na Serikali? Hajawahi kufanya hivyo kwa sababu yeye mwenyewe anajua aliingia Ikulu kupitia rushwa iliyotolewa na kundi lake maarufu la wana mtandao. Hivyo anabaki kubwawaja tu ili kutuzuga Watanzania wakati rushwa inazidi kushamiri ndani ya magamba na Serikali. Kinara wa rushwa ndani ya magamba fisadi Lowassa naye itakuwa hivyo hivyo.
 
Membe team mnahangaika bure, ccm yote ya wala rushwa tofauti ni nani kwa mjanja zaidi kala za mwenzake na kampa nani kura, shame of you wagombea wa Upande wenu wamekula mwereka ila rushwa imerika, ccm mjini bana mnaleta mambo yenu ya mtama hapa
 
Back
Top Bottom