Recent content by Wakudadisi

  1. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Yatatokea maajabu mpaka utashangaa! Brazil akifungwa.?
  2. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Mwengine mnapenda tucheke tu na huku tumeumizwa!!!
  3. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Inacheza kupitia shirikisho, la Asia yaani mwanachama wa Asia, AFC, umeelewa??
  4. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Tatizo soka letu linaingiliwa na watawala ili kujinufaisha, kisiasa kumbe ndio wanaharibu kabisa! Tanzania inamwamuko mkubwa sana kwenye upande wa mpira wa miguu. Kuliko hata nchi senegal, kunaupande tutenganishe ili upande mwingine tufanikiwe.
  5. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Bado Australia mkuu??
  6. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Dogo Ronaldao atazipiga hata fainal za 2030. hapo atakua na miaka 45? utaona?
  7. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Uzbekistan ni Asia, alafu hili ni kombe la dunia inatakiwa kushirikishwa mabara yote haijarishi timu za mabara mengine kiwango chao vipoje? Italia ni ujinga wao.
  8. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Walikua makundi tofauti kwenye kufuzu itanakiwa CAF. Wazingatie kupanga kuendana na reking za timu??!
  9. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Hata hivyo mchambuzi wewe hauna point timu kikosi kinachoitwa 26. Sasa hapo mchezaji mmoja tu timu iwe mbovu na wanaocheza uwanjani ni 11. Na subs 4. Akiba 11??
  10. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Tatizo mpira wa bongo upo kisiasa sana hatuwezi ccm wameufanya kama bango, kujinufaisha??
  11. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania TBC wanilipe fidia ya Milioni 500

    Yaani TBC ya mama kazi kweli??
  12. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    Stori ilikua zuri asante sana mwandishi nimejifunza!!
  13. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania SONGEA: Watu ambao hawajatambulika wawashambulia kwa mapanga viongozi na wafuasi wa CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara

    Hapo ni kulipa kisasi tu ili kuondoa unyonge dawa ya moto ni moto!,
  14. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania SONGEA: Watu ambao hawajatambulika wawashambulia kwa mapanga viongozi na wafuasi wa CHADEMA kwenye mkutano wa hadhara

    Kumbe tumefikia huku tunakoelea hii nchi imeharibika?
  15. Wakudadisi

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Nitakuja hapo morogoro unifanyie?
Back
Top Bottom