Yes! Endapo atamfunga Marekani goli 3 bila na Australia au Paraguay yoyote amshinde mwenzie goli 2.Bado kuna matumaini ya best lose kwa Turkey?
Dini sokani so poaMimi muislamu, au uislamu upo kwa ajili ya ukoo wenu tuu?
Huu uzi wa dini au umeambiwa ujitambukishe dini yako na kuleta Siasa za kidini au umeamka na hangover ya Visungura ?Mimi muislamu, au uislamu upo kwa ajili ya ukoo wenu tuu?
Anataka attention tumpuuzeHuu uzi wa dini au umeambiwa ujitambukishe dini yako na kuleta Siasa za kidini au umeamka na hangover ya Visungura ?
Anyway let's stop this
Noma mzeeCunya
NImeangalia hapa, kumbe wanaangalia h2h. Kwa sababu wote Australia na Paraguay walimpiga Turkey basi ametoka mazima.Yes! Endapo atamfunga Marekani goli 3 bila na Australia au Paraguay yoyote amshinde mwenzie goli 2.
Ili aweze kumaliza nafasi ya tatu
Nimepatia utabiri ghaflaBalaa sana ulilenga mule mule jombaa
Tatizo mpira wa bongo upo kisiasa sana hatuwezi ccm wameufanya kama bango, kujinufaisha??Hivi kuna siku na sisi tutacheza wedi kapu?
Sidhani aisee
Mimi siwez kuacha, ninajisikia nasema tuu, kama inakuuma niblock usione reply zanguHuu uzi wa dini au umeambiwa ujitambukishe dini yako na kuleta Siasa za kidini au umeamka na hangover ya Visungura ?
Anyway let's stop this
Wewe Mnywa Visungura Mimi sitakubloc hata niwekewe dau kubwa mezani , inabidi niwe naona reply zako ili niwe nakurekebisha na kukuongoza kwenye njia ya sawa ..Mimi siwez kuacha, ninajisikia nasema tuu, kama inakuuma niblock usione reply zangu
Alafu guler anasimama kuomba msamaha ili iweje uturuki ashaaga tayari huyu
Salibari msimu ujao yupo bayern washachukua saini yake
Mimi sio mlevi ❌Wewe Mnywa Visungura Mimi sitakubloc hata niwekewe dau kubwa mezani , inabidi niwe naona reply zako ili niwe nakurekebisha na kukutongoza kwenye njia ya sawa ..
Uzuri wewe ni mlevi mstaarabu hautukani watu hovyo na unajitambua ndio maana sikukatii tamaa na nitaendelea kukurekebisha....
Hongera sana , Allaah akijaalie mwisho Mema . AamiynMimi sio mlevi ❌