2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Sasa yule fala pale anataka kutuliza mpira wa nini tena....
Mechiniliyopita walikosa chances hivi hivi kwa kutuliza mpira...dialo akafanya one touch finish ndio wakashinda
Huyu bwege hakujifunza au ndio alikuwa anapiga nyeto tuu kwenye 5 star hotel baadala ya kuwa serious
 
uran yuko lindo leo au kalala
Aisee nililewa sana!🙂
Nilizima Game ya Uholanzi na Sweden ikiwa mwishoni kabisa.

Napitia review ya game.
Nimeona jinsi Ivory Coast walivyokiwasha na Wajerumani. Ila wakpigwa dakika za jioni.

Curacao na Ecuador.0-0

Sasa hivi naona hapa game inaendelea.
Tunisia wanapata adhabu kutoka kwa Japan ni Dakika ya 32.
Washalalia viwili
 
Mkuu hata Kocha aliyepita Fernando Santos alimvumilia sana Ronaldo, baadae akaona huu upuuzi akanza kumweka bench.. Kilichomkuta akafutwa kazi... Haya maisha inabidi ubalansi professionalism na kaunafki...

We angalia Brazil, Carlo Ancelot alikua hataki kumwita Neymar.. Baadae skaona mashabiki nchi nzima wana mind Neymar aitwe... Baadae akaona hawa mafala niwape wanachotaka ili niendelee kulinda kibarua changu... Sasa hv ukiangalia Neymar mwenyewe wachezaji ni full injury na hata angecheza hana mchango wowote wa maana..
Hata hivyo mchambuzi wewe hauna point timu kikosi kinachoitwa 26. Sasa hapo mchezaji mmoja tu timu iwe mbovu na wanaocheza uwanjani ni 11. Na subs 4. Akiba 11??
 
Back
Top Bottom