Santo sanaMapema kabisa saa nne usiku.
Kuwa mzalendoNaipenda Africa ila kwa Souz moyo unagoma.
Watolewe tu
Hivi kuna mtu amewahi kuwa mfungaji bora kombe la Dunia kwa kufikisha goli 10 ama Messi ndiye anayekwenda kuwa wa kwanza?
Tuangalie watakaoweza kwenda hatua ya 16bora ndo tuwape heshima, hapa wengi wamepita kama best looser
Dogo Ronaldao atazipiga hata fainal za 2030. hapo atakua na miaka 45? utaona?It's official, France wanachukua kombe hakuna timu ya kuwazuia.
It's official, Ronaldo atastaafu bila kuwa na kombe la dunia