King Rabbit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 1,201
- 4,393
Mikeka hakuna huku.
Hapo hiyo ni orodha ya Wabrazil, jiongeze mkuuRonaldo ni yupi?
NaamAnaungana na Messi
Hawa Bathong wanaenda mjini kiutani utani.Mechi ya kwanza ya Raundi ya 32, itapigwa Jumapili hiiView attachment 3615340
Dua Dua tu mkuuPopote atakapofikia hakuna shida! Muhimu nipo pamoja nao.
Tareh 27 wapo na Egypt ndani ya Nyumba kuzitafuta nafasi,Nina ndugu Iran mzee! Mimi nipo na Iran kwa hali yoyote 😁
Walikua makundi tofauti kwenye kufuzu itanakiwa CAF. Wazingatie kupanga kuendana na reking za timu??!Cameroon na Nigeria ilikuaje wakabaki akaenda kibonde tunisia
Asiyefaa kafaaHawa Bathong wanaenda mjini kiutani utani.
And yet some Ronaldo critics wanna see him petting the ball so they can say "he's playmaker"🚨 Zlatan Ibrahimovic after South Africa beat South Korea to qualify to the next round
🗣️ “I think this is a message to FIFA, they need to bring more African countries to the World Cup. Nigeria should be here too. Africa’s football is different. They don’t play unnecessary passes. when they get the ball, they attack you immediately. That’s the kind of football we want.
Europe’s football is boring, too many back passes and too many tactics. Morocco and South Africa have qualified to the next round. Morocco is the best Africa team in having possession. South Africa is the best in counter attack.
I think an African team will reach the semifinals this year. I’m happy,they deserve it. Africa should be the best, Mbappe should be playing for Cameroon, Olise should be playing for Nigeria and same for Vini too. I wish the whole of Africa luck in this tournament”. 👏
Sasa hilo ni jibu au swali?Angekuwa ana busara angejibu ‘¿Qué miras, bobo?’
Go translate it, don't you want to learn the wise words?Sasa hilo ni jibu au swali?
Nimetafsiri nimekuta ni swali na sio jibu kama ulivyosemaGo translate it, don't you want to learn the wise words?
Swali gani?Nimetafsiri nimekuta ni swali na sio jibu kama ulivyosema