2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Timu za kiboya kama Uzbekistan ndiyo ziliinyima nafasi Italia.
Afadhali hata Congo na timu nyingine za Afrika zina nafuu kuliko hizi za Ulaya mashariki
Uzbekistan ni Asia, alafu hili ni kombe la dunia inatakiwa kushirikishwa mabara yote haijarishi timu za mabara mengine kiwango chao vipoje? Italia ni ujinga wao.
 
1000825844.jpg
 
TIMU NANE AMBAZO ZINA NAFASI YA KUPENYA KAMA BEST LOOSER WORLD CUP 2026.

1- Sweden 🇸🇪
2- Ecuador 🇪🇨
3- Bosnia 🇧🇦
4- Paraguay 🇵🇾
5- Senegal 🇸🇳
6-Croatia 🇭🇷
7- Korea Kusini
8- Algeria 🇩🇿

Msimamo wa Best Looser mpaka sasa timu nane (8) za Juu zaidi.

Nchi zingine ambazo zina nafasi ya kupenya ni pamoja na

9- Scotland 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿
10- Cape Verde 🇨🇻
11- Belgium 🇧🇪
12- DR Congo
Cape Verde na Belgium mbona wameingia bila u loser?
Check tena source yako mkuu
 
Back
Top Bottom