2026 FIFA World Cup - Special Thread

2026 FIFA World Cup - Special Thread

Germany, Netherlands...

Sukumia nje na Portugal waungane na wapuuzi wenzie
Alhamdulillah Morocco wamempasua Netherland, huoni ni big happy morocco wamepita

Screenshot_20260630-123904_FotMob.jpg

😄😄💪🏽💪🏽💪🏽🇲🇦🇲🇦🇲🇦🇲🇦
 
Hard work pays bro!
Tz tuache janja janja na siasa kwenye mpira, tuwekeze haswa kwenye soka, inalipa sana.
Tatizo soka letu linaingiliwa na watawala ili kujinufaisha, kisiasa kumbe ndio wanaharibu kabisa! Tanzania inamwamuko mkubwa sana kwenye upande wa mpira wa miguu. Kuliko hata nchi senegal, kunaupande tutenganishe ili upande mwingine tufanikiwe.
 
Back
Top Bottom