Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,524
- 9,591
TBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup.
Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street.
Cha ajabu, watu wanakusanyika kusubiri mechi, TBC mara wanazindua vipindi vipya vya Safari Channel, mara mama yao anaongea peke zake kwa raha zake.
Nimekata tamaa. Naenda kuwaripoti ICC.
By. Habil and Qabil