Recent content by Wabo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa

    Nauza kiwanja ukubwa 30*20 kibaha picha ya ndege kwa Mtopa 1km kutoka Morogoro road bei 4,000,000 mawasiliano 0623958755
  2. W

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya moyo Muhimbili yafanya upasuaji na kupandikiza Betri kwa mtoto

    Artificial cardiac pacemaker - Wikipedia, the free encyclopedia
  3. W

    JamiiForums Tanzania Neno "mchati", hebu tulijadili hili neno

    Mchati ni mti unao patikana maeneo ya mwambao wa bahari, sifa ya mti huu unawaka ukiwa mbichi hivyo kufanya watu wengi maeneo ulipo kuutumia km kuni
  4. W

    JamiiForums Tanzania Watabe wa Tax: TRA Vs BOT

    Value Added Tax
  5. W

    JamiiForums Tanzania Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    Turudi darasani kidogo Value Added Tax
  6. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ikishindwa kesi na kukataa hukumu ya mahakama kuu ni hatua gani mhusika anaweza kuchukua?

    Mahakama inazuia akaunt na Mali za mdaiwa kwa Muda maalumu wakishindwa kutekeleza hukumu dalali anapewa kazi ya kuuza Mali ulipwe deni, au fedha za ac bank inapewa idhini ya kukulipa mdai
  7. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ikishindwa kesi na kukataa hukumu ya mahakama kuu ni hatua gani mhusika anaweza kuchukua?

    A garnishee order is an order made by the court to allow you to recover the judgment debt from: the debtor's bank account. the debtor's wages. people who owe money to the debtor.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Diezani Alison ndiye tajiri kuliko wote duniani, anatoka Nigeria na ni Mwanamke

    Huyo mama amekamatwa na $700milli cash nyumbani kwake this is shame for African women leaders
  9. W

    JamiiForums Tanzania TOURISM: New private island in Tanzania to open in April, 2016

    Halmashauri ya wilaya Mafia wanapata nini kutokana na huu uwekezaji?
  10. W

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya ununuzi wa Home Theater

    Nakubaliana na wewe nilinunua Sony Home theater system model DAV-TZ140 Ina watts 300 najuta maana ni upuuzi mtupu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Sony home theater system model DAV-TZ140

    Najuta kutoa pesa yangu kununua hiki kifaaa ukiweka flash video za mp4 inakwambia video frame not support ukiwe mp3 inakwambia Not Recognized naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya trouble shoot ya hii
  12. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Bao LA mkono mwisho bafuni
  13. W

    JamiiForums Tanzania Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Hayo c maswali ya msingi Tunataka ajibu maswali ya watanzania yaliyo mshinda 1. kwanini tanzania ni masikini 2. atafanyaje ili umasikini huu tuondokane nao 3. kama akijibu suali la 2 tumuulize tena alikuwa wapi asishauri chama na serikari wakati wa uongozi wake
Back
Top Bottom