sony pumba sana ninalo hometheater ya sony inacheza mp3 tuNajuta kutoa pesa yangu kununua hiki kifaaa ukiweka flash video za mp4 inakwambia video frame not support ukiwe mp3 inakwambia Not Recognized naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya trouble shoot ya hii
Well said mkuu! Ukipata kile kinu cha 750,000 kiko safi sanaNyie watu mnaoponda Sony labda mnanunua Sony Fake. Mimi ni muumini wa products za Sony na ninazikubali sana, Buy original. Home theater za Sony huwa zinaanza na bei ya si chini ya 600,000 mpaka around 1.5m
Well said mkuu! Ukipata kile kinu cha 750,000 kiko safi sana
Ni Sony DAV DZ 650Model gani nzuri inayopatikana kwa bei hiyo mkuu?
Hizi hometheatre skuiz fake kibaoNi Sony DAV DZ 650
Sent from my SM-J700F using Tapatalk
Hivi jamani naomba kuuliza, kwani uki scan barcode, kwa kutumia simu si unapata pa kuanzia???Mambo mengi siku hizi yamerahisishwa kupitia internet. Kabla ya kununua bidhaa tembelea online store angalia rating yake na maoni ya watu, ulinganifu wa bei na mambo mengine. Pia youtube video kibao zipo chanel Kama ezvid.com huweka list ya vitu na ubora wake.
kuweni makini sana
Mti wenye matunda.
Hivi jamani naomba kuuliza, kwani uki scan barcode, kwa kutumia simu si unapata pa kuanzia???
Hakuna njia ya ku trouble shoot zaidi ya kutumia ports za tv yako! Kama una computer basi convert video zako kuwa mfumo wa .AVI zitaplay bila matatizoNajuta kutoa pesa yangu kununua hiki kifaaa ukiweka flash video za mp4 inakwambia video frame not support ukiwe mp3 inakwambia Not Recognized naomba msaada kwa mwenye kujua jinsi ya trouble shoot ya hii
Halichezi chochote manaake ni nini? Kama file formats za USB ni kweli inachagua sana nadhani inaplay .avi tu na codec nyingine moja kwa videos. Kwa audio inaplay MP3 files tu FLAC sidhani!Hahah isee mmenikumbusha siku nimemsindikiza dada mmoja kununua home theater akang'ang'ania kununua sony. Hadi leo huwa anaksirika nikimkumbusha hayo manunuzi maana halichezi chochote.
Hajui kuiseti, mwambie aingie settings za speaker!Hizi hometheatre skuiz fake kibao
Jamaa kapigwa DZ 650 ya mchina View attachment 1062764
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Inaezekana ikawa sababu?Hajui kuiseti, mwambie aingie settings za speaker!