Taasisi ya moyo Muhimbili yafanya upasuaji na kupandikiza Betri kwa mtoto

Taasisi ya Moyo Muhimbili yafanya upasuaji mkubwa wa moyo kwa mtoto ambaye amepandikizwa Betri ya umeme wa Moyo.

Chanzo: ITV
Huo umeme unapata nguvu ya uendeshaji kutoka wapi?na kwa nini moyo huo wa mtoto uwekewe battery,umesimama au?
 
Sasa huyo mtoto ni wakuchaji?
Inamaana kunakipindi anakua battery low?
Au anakua full charge?
 
huyo mtoto atawekewa socket ya kumchajia??? je kama akiwa bush ambako hakuna umeme itakuwaje au atatembea na solar panel???
 
Inabidi line ya umeme ya mtaa anaokaa iwe special isokatika katika kama ile ilio karibu na makazi ya vigogo ila Kwa umeme Wa uswazi n shida .Nawapongeza madaktar wazawa Kwa KAZI nzuri waloifanya
 
Tukisema Tz kuna viazi wengi watu wanabisha watu wanashindwa hata kufanya research kidogo japo ku google ........wanawake comment za ajabu..... is it a jok or something!?
 
Back
Top Bottom