Ni kukosa confidence, hawajiamini na wivu nyuma yake. Wanaona atahit, atapaa na kuwa super! Wanahofu mademu zao, wanahofu kufunikwa, wanahofu kukubalika kwake na kuvuta mashabiki wake. Wana hofu maendeleo yake na wanahofu ujana wake. Ni roho ya kutu.
Kwa muda mrefu chama cha mapinduzi (ccm) kimeonekana kuiongoza hii nchi kwa ushindi wa kupigiwa kelele. Chama hiki kilicho zeeka, kimeendelea kuishika nchi kwa mitindo na mbinu mbalimbali za panya na kuwaacha wapinzani midomo wazi wasijue wameibiwa wapi au wapi wamepigwa. Kila kitu kina mwisho...
Ana utajiri wa kushtusha! Anamiliki mahotel na nyumba za kifahari za kutisha. Tapeli Ben rowaza mkaazi wa sinza, aliwahi kupata hekaheka za madawa ya kulevya, ugomvi na makonda. Alikamatwa akiwa na cheo cha koplo osterbay na kutakiwa akatoe maelezo ni juu ya kutajwa kwake na madawa ya kulevya...
Ni movie siyo utani ni movie kwl! ccm inacheza movie katika maisha yetu. Inajisafisha kwa kutukaba makoo yetu. Inatumia kila mbinu hata za umungu umtu!
Hivi majuzi makampuni ya simu nchini yalikaa meza moja kunywa na kula pamoja. Huku lengo ni kuyakutanisha katika makutano moja. Tigo, halotel, zantel, zain na vodacom kuwa katika hekalu moja! Ni furaha Kama nini kuwa selfie moja ya kibiashara na masirahi. JE, MUUNGANO HUU WA PAMOJA UTALETA...
Ni Kama movie au ndoto za alinacha, amini usiamini Tanzania gov imekubali kuwachukua wakimbizi toka syria na yemen!
Sisemi wafukuzwe ila nina shaka juu ya uwepo wao hapa hasa ukizingatia nchi wanakotoka ni jalala sasa la magaidi. Je, hawa si IS? tutawaamini vipi kwamba wageni walioingia...
Hayajagi bule haya majitu, kuna kitu kaja kupandikiza katika jamii. Ni mafree Mason's yakutupwa haya tena yale ya daraja la juu kabisa. Ukichunguza utaambiwa kaja kwa shughuli fulani but other side ni dangerous tupu! kuna kitu amekuja kukifanya ndani ya hii inchi. Obama alikuja na gia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.