real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,292
Hii ilitokea Jumamosi Maisha Club baada ya shabiki kumtupia chupa Harmorapa akiwa stejini , Jamaa huyo alishushiwa kipigo na walinzi wa hapo na kumuhisi kuwa alikuwa ametumwa ila yeye alikataa katu kuwa hakutumwa alikuwa kalewa.
Meneja wake Irene Sabuka alilaani vikali tukio na kusema kuna watu wasanii wakubwa wapo nyuma ya tukio hilo na wamemtuma huyo kijana kuja kuharibu.
kuwaomba radhi mashabiki kwa tukio hilo kisha Harmorapa na meneja wake wakaenda kituo cha polisi Mbatini kutoa taarifa.
Angalia Video hiyo kuona tukio lilivyokuwa