Recent content by Verified

  1. Verified

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua ofisi za Speedaf Express zilipo

    Vipi chief, umefanikiwa kupokea mzigo wako? Courier aliye scan mzigo wangu hapokei simu, na hawajui wana deal na nani, kitendo nitawafanyia watafunga ofisi!
  2. Verified

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Ujerumani imepangika vizuri sana(Kiuchumi)

    Vipi Bondeni hapo kwa Madiba? Jo'burg Cape Town Pretoria Port Elizabert Durban Kwazul Natal Vipi hiyo miji?
  3. Verified

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    KIMEGUSA LAMI? AU MBELE YAKE KUNA PLOT NYINGINE??
  4. Verified

    JamiiForums Tanzania LAPTOP HP 250 12th GEN- FOR SALE

    If someone offers you 500k, sell it asap!! You'll thank me later
  5. Verified

    JamiiForums Tanzania Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Tatizo lipo wapi? Ujinga ni pale mnapozidharau guest house kwa kuwa akili zenu zimejawa na uzinzi! Mnasahau kwamba Guest House ni sehemu ya biashara tena inayoipa mapato serikali kama zilivyo biashara zingine!
  6. Verified

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

    Inauzwa Milion 180, na bei haipungui
  7. Verified

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kula chakula gizani ni very risk

  8. Verified

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    Ni coincidence tu mkuu, mambo ya kiroho ni kweli yapo kwenye issue za mahusiano, ila hii yako ni ya kawaida sana, the fact kwamba hao wengine ulio taja hukuingia nao kwenye mahusiano. Halafu kuzoeana na mwanamke haimaanishi ndio anakupenda, ni mambo ya kawaida sana! Ila nikijaribu kukusoma...
  9. Verified

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Nami nimelisoma kwa style hiyo. Ameshasema hata akichepuka huwa analazimisha kuliwa ndogo, means akipata mwanaume ambaye hatumii huo mtandao, bado atamkumbuka aliyemfundisha!! #SMH
  10. Verified

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Haya mambo ni magumu sana, Tatizo lipo hivi; Anaweza akaachana na huyo mwanaume, then baada ya lets say mwaka mmoja, akapata mwanaume mwingine ambaye hajui A wala B kwamba mwenzake alikuwa na michezo ya kurukwa ukuta, mwanaume akatangaza ndoa akamuoa na kumfanya kuwa mwanamke wake wa heshima...
  11. Verified

    JamiiForums Tanzania Mabishano ya kidini yanafanywa na watu wenye Upeo Mdogo wa Akili

    Kuna hili swali, waislam wengi wanalikwepa. Je waliopewa kitabu ni akina nani?
  12. Verified

    JamiiForums Tanzania kwanini AJIRA PORTAL baadhi ya kazi Mtu aliesoma Biotechnology and laboratory sciences hawezi kuaply hata kama ana sifa

    Bacherol = Bachelor Microbilogy = Microbiology Watch your spelling, huenda shida inaanzia hapo!
  13. Verified

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kusimamia apartments Arusha

    1. Receptionist 2. House Keeper/Cleaner 3. Social Media Manager Kazi za watu watatu tofauti tofauti unataka uajiri mtu mmoja! Lack of understanding!!
Back
Top Bottom