Nafasi ya kazi kusimamia apartments Arusha

end justify means

Senior Member
Jan 16, 2014
128
23
Natafuta Msimamiz wa apartment Iliyopo Arusha Sakina. Mwenye uwezo wa kufanya majukumu yafuatayo.

*Kupokea wageni na kuhakikisha wanapata huduma zote zinazo tolewa kwenye apartment yetu kwa muda sahihi.

*Kufanya usafi ndani na nje ya apartment kila siku kuhakikisha wageni wanakaa mazingira masafi na bora wakati wote.

*Awe na uwezo wa kusimamia social media accounts za apartment ikiwemo posting kazi na huduma tunazo toa kwenye apartments zetu kila siku.

*Awe na uwezo wa kuwasiliana na wageni kupitia platforms mbalimbali za kupokea wageni kama AIRBNB, BOOKING.COM na zinginezo.

*Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kwa lugha ya kiswahili na kingereza.

* Kazi zingine zozote tutazoona zinafaa kwa maendeleo ya apartments zetu.

* Awe Kijana wa kike. Umri 23_25. Elimu angalau kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.

* Sehemu Ya Kulala kupo.

Mshaara Maelewano.

Aliye na nia ya dhati atume CV yake kupitia namba 0787450854.

Mwisho wa kupokea CV ni 10/10/2023.
 
Hata mimi nimeshangaa hapa,,,yaani atoke kudeki chooni arudi kupost na kujibu comments mtandaoni huku akiwa na mapovu ya sabuni mikononi aende tena kufuta vioo vya milango na madirisha hapo bado mapazia na mashuka hajafua
Bado kufungua geti kupokea wageni 😄 ila kama jina lake linavyojieleza hapo end justify the means
 
K
Natafuta Msimamiz wa apartment Iliyopo Arusha Sakina. Mwenye uwezo wa kufanya majukumu yafuatayo.

*Kupokea wageni na kuhakikisha wanapata huduma zote zinazo tolewa kwenye apartment yetu kwa muda sahihi.

*Kufanya usafi ndani na nje ya apartment kila siku kuhakikisha wageni wanakaa mazingira masafi na bora wakati wote.

*Awe na uwezo wa kusimamia social media accounts za apartment ikiwemo posting kazi na huduma tunazo toa kwenye apartments zetu kila siku.

*Awe na uwezo wa kuwasiliana na wageni kupitia platforms mbalimbali za kupokea wageni kama AIRBNB, BOOKING.COM na zinginezo.

*Awe na uwezo wa kuongea na kuandika kwa lugha ya kiswahili na kingereza.

* Kazi zingine zozote tutazoona zinafaa kwa maendeleo ya apartments zetu.

* Awe Kijana wa kike. Umri 23_25. Elimu angalau kidato Cha Nne. Awe Na Wadhamini Wawili. Muaminifu.

* Sehemu Ya Kulala kupo.

Mshaara Maelewano.

Aliye na nia ya dhati atume CV yake kupitia namba 0787450854.

Mwisho wa kupokea CV ni 10/10/2023.
Kumbe ni ke tuu!
 
Apo mwamba anatafuta kijana alie desperate na maisha. Kazi nne mtu mmoja, anapiga ndege wannne wa jiwe moja

Anamlalia kwenye maelewano ya mshahara. Yeye anajilia super profit kwa mrija.

Hii kitaalamu tuliosoma cuba tunaiita “mondolov sliding-money technique”
 
Kijana wa miaka hiyo bado hajamature kusimamua hizo kazi zote vizuri, 30z hapo sawa.
 
* Kazi zingine zozote tutazoona zinafaa kwa maendeleo ya apartments zetu.
Kipengele hiki utata, mtego huu.
Hapa unaweza kupewa kazi nyingi sana au kazi za ajabu ukisema hapana unaoneshwa kipengele hiki.
Just be specific.
i.e Define or mention all tasks explicitly.
 
Back
Top Bottom