kwanini AJIRA PORTAL baadhi ya kazi Mtu aliesoma Biotechnology and laboratory sciences hawezi kuaply hata kama ana sifa

billy1999

Member
Oct 2, 2023
15
8
mimi nimesoma bacherol ya Biotechnology and laboratory sciences na miejaribu kuapply kazi kama vile laboratory scientist katika biochemostry au microbilogy na unakuta wanaweka pale kozi wanaotakiwa kuapply kama vile Bsc in moleculae biology, microbiology, biotechnology and molecula biology, au biochemistry na ama kozi zingine zinazoendana na izo sa ukiapply mtu wa biotechnology and laboratory sciences et unaambiwa vigezo huna kwasababu degree yako haiendani na mahitaji ya kazi mapaka najiuliza hii system mbona ya kipuuzi ivi?
 
Ukisoma course hizi lazima uwe na malengo ya kuja kutoka nje ya nchi hii ya Tanzania kwasababu level ya technology kwa Tanzania bado ni ndogo hivyo hizo course haziwezi kuwa applicable in third world countries kama Tanzania

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Daaa! Au ndo Yale unasomea course afu bdae wanasema haitambuliki na TCU
 
weee acha tu tangazo limeorozesha course nying tu ikiwemo Bachelor of Business Administration
Sas unakutak mtu amesomea Business Administration with Marketing course ni ile ile ukiomba system inakutema
system ni
 
Bacherol = Bachelor
Microbilogy = Microbiology
Watch your spelling, huenda shida inaanzia hapo!
 
Back
Top Bottom