Recent content by van xoussam

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkeka huo nenda meridian mwambie naomba first bet taja code hzoo
  2. V

    JamiiForums Tanzania Udogo ni kipimo cha mafanikio???

    Vizur lakin kwa hiyo kesi yako unatakiwa utazame mazingira kwanza ni rafiki nabhiyoo biashara utakayo taka kuianzisha ukipaona pako okey mnaanza sasa hapo kidogo kidogo kesi imeisha
  3. V

    JamiiForums Tanzania Maswali gani ya kijinga ulishawahi kuulizwa ?

    Wifi yangu hajambo
  4. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna wanawake wenye maumbile mazuri kuliko wanawake wa kanda ya ziwa?

    Ungetuwekea picha japo 2 kuweka mfano hv kwa kile unacho kisema au kukielezea ueleweke uzur upi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. V

    JamiiForums Tanzania Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

    nikwel katoweka au watu wanapenda kukuza kuanza kutoa kik zisizo na mashiko
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unamfikiriaje mpenzi wako mwenye majibu kama haya ukichati naye...check out

    Ya uzi kiukweel sema huwez kumuhukum mtu huwez jua labda yuko bize lakin inategemea huwez kuwa bz wk nzima huna muda wa kumpa hata chembe ya dk mpz wako itakuwa muongo tu unatafuta ustaraabu mwingne
  7. V

    JamiiForums Tanzania The National Institute of Transport (NIT) - Special Thread

    Jaman masomo yanaanza lin? Hapo chuon
  8. V

    JamiiForums Tanzania Karibuni National Institute of Transport (NIT)

    Hv hostel za hapo chuon inakuwa je? Na utaratibu wake
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

    Ndugu acha nae huyo yakija kumkuta mabaya itakuwa ww ndio umemuingiza hakuna watu wazuri kama wazungu lakin pia hakuna watu wa baya kama wanzungu hao hao take care aw muache dada na msimamo wake Mwambie mzungu yeye amtafute kwa nafas yake na mpe pongezi saana rafiki yako kwa msimamo ulio thabiti...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

    Alaf acha kujisifia bana kuwa na watoto wa nje 7 sio sifa boy ujinga huo ww wazazi wako wange kuzaa nje waanze kutamba hivyoo acha upimbi ww subir mumewarud ukamuombe msamaha yeye kwanza kisha nfio umuombe mungu msamaha maana mungh hawez kusamehe
  11. V

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mke wa mtu lakini mumewe yuko mbali kikazi

    Kama tudini tudan
  12. V

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea endapo Simba itakosa ubingwa msimu huu??

    Wao hawana shida na kombe wanashida ya kuifunga yanga kombe wanatuachia sisi ndio maana match yetu wakajua wakitufunga rooho yao saafi lakin kama wametukosa jmosi bas wasahau maaana hapo msimu utakapo pinduka sijaona maaana usajili wa dirisha dogo sio wa kitoto
  13. V

    JamiiForums Tanzania Happy birthday to me

    Happy birthday
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msichana muelewa huyu hadi raha

    Mmh alikuwa hana mpango na ww huyoo aliyekuwa anakupenda huwez achana nae kwa sms
Back
Top Bottom