Nini kitatokea endapo Simba itakosa ubingwa msimu huu??

Wao hawana shida na kombe wanashida ya kuifunga yanga kombe wanatuachia sisi ndio maana match yetu wakajua wakitufunga rooho yao saafi lakin kama wametukosa jmosi bas wasahau maaana hapo msimu utakapo pinduka sijaona maaana usajili wa dirisha dogo sio wa kitoto
 
Kilichobaki ni kuliiba Kombe lenyewe. Hakuna namna nyingine hadi watakapofikia hatua ya kumwachia kocha kusajili na kupanga Kikosi kila mechi
 
itabidi iundwe kamati ya uchunguzi kuchunguza hao wakushindwashindwa na majibu yakatolewe pale jangwani mkutanoni na wana daresalaam wote wafike mkutanoni
 
Najaribu kuwaza kwa sauti wakuu, unadhan nini kitatokea msimbazi endapo ubingwa hautopatikana msimu huu??
Wapenzi watamsambaratisha Manara msemaji wao Ambae kila kukicha anaficha ubovu wa timu yake na kulalamikia mambo yasio na maelekezo.
*Hamna kitu hapo*
 
Itakuwa hivi
f51c26cd4b39f0db0368839dc6d03a0a.jpg
 
Back
Top Bottom