Masoud ametisha
pole sana siasa zitakupeleka kubaya kuliko kuwakabidhi wanasiasa ufunguo wa maisha yako ni bora ukabadili kitasa kuna maisha nje ya siasa
HAHA HII NI MIE NA KIZAZI CHANGU CCM KWANGU NI ADUI NAMBA MOJA SO NITAHAKIKISHA HATA MTOTO WANGU ANAICHUKIA KAMA MIE NITAMKUZA NA KUMFUNZA KUWA WATU WA CCM NDO WANASABABISHA MATATIZO YOTE YALIYOPO I MEAN NITAMKARIRISHA KUWA HATA HAWA MBU WANAOTUUMA WANALETWA NA CCM .........NAJUA NA YEYE ATAAMINI NA ATAZALISHA WAPINZANI WENGINE WENGI TU ............pole sana siasa zitakupeleka kubaya kuliko kuwakabidhi wanasiasa ufunguo wa maisha yako ni bora ukabadili kitasa kuna maisha nje ya siasa
Lakini ajabu umewaweka DP wanaCCM wakipiga kampeni!...hamna picha ya mbowe na lowassa walopiga ukaweka!??..HAHA HII NI MIE NA KIZAZI CHANGU CCM KWANGU NI ADUI NAMBA MOJA SO NITAHAKIKISHA HATA MTOTO WANGU ANAICHUKIA KAMA MIE NITAMKUZA NA KUMFUNZA KUWA WATU WA CCM NDO WANASABABISHA MATATIZO YOTE YALIYOPO I MEAN NITAMKARIRISHA KUWA HATA HAWA MBU WANAOTUUMA WANALETWA NA CCM .........NAJUA NA YEYE ATAAMINI NA ATAZALISHA WAPINZANI WENGINE WENGI TU ............
mimi sina la kusema ila ccm ni hawahawa tuko nao kitaa ole wa mwana ccm aingie 18 yangu iwe kwa harusI ama Msiba.. atakiona cha mtemakuni
jana tumemzabua mmoja mtaani tukamfukuza kama jibwa hatutaki wakae karibu yetu wachape lapa.... WANAFIKI JITU LINASHABIKIA CCM ILA LINATUOMBA BIA LIKAOMBE MAGOGONI HUKO
Hakuna maisha nje ya siasa, hakunapole sana siasa zitakupeleka kubaya kuliko kuwakabidhi wanasiasa ufunguo wa maisha yako ni bora ukabadili kitasa kuna maisha nje ya siasa
Akili ndogo na zisizokuwa frexble ndio znatufanya tudumae miaka yote..mimi sina la kusema ila ccm ni hawahawa tuko nao kitaa ole wa mwana ccm aingie 18 yangu iwe kwa harusI ama Msiba.. atakiona cha mtemakuni
jana tumemzabua mmoja mtaani tukamfukuza kama jibwa hatutaki wakae karibu yetu wachape lapa.... WANAFIKI JITU LINASHABIKIA CCM ILA LINATUOMBA BIA LIKAOMBE MAGOGONI HUKO
hakuna uhusiano wowote, Masoud kama msanii anawasilisha ujumbe au mawazo yake na mitizamo yake kupitia katuni zake. Ila akiwa pale clouds anatimiza majukumu yake aliyopangiwa na boss RugeAliye elewa swali na anayo majawabu naomba anijibu!

wamemfanya nn Masoud wa watu?![]()