Kibra49
Senior Member
- Jul 19, 2017
- 179
- 47
iv deadline ya registration ni lini??ni kweli nafikiri mwaka huu wamebadilisha utaratibu sijui wameona vyuma vimekaza😀😀😀😀
iv deadline ya registration ni lini??ni kweli nafikiri mwaka huu wamebadilisha utaratibu sijui wameona vyuma vimekaza😀😀😀😀
unaweza lipa kwa semister ambayo itakuwa laki na 45Bado bado awajaanza but nkuulze hvi ile direct cost 290000 unaweza lipia kwa semester au lazma yote