witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,772
Kimemuuma huyo...alidhani akimwambia tuachane bidada atakunywa sumu! Kumbe looh hata habaree hana!Kwa hiyo hata wewe ulikuwa chizi. Kama uliishi na mtu mwenye kiwango cha kuzolewa na chizi.
Kuachana sio vita usimshushe thamani kiasi hicho.
Wadada sasa hivi wanajielewa asee...big up