Ni kweli kabisa ni kati ya watu ambao hawapewi credits wanazostahili ktk hip hop..kuna makundi kama kwanza unit ya kina d-rob na fresh G, the diplomats ya kina saigon na balozi, bila kuwasahau x plastaz ya kina faza nelly wa arusha..waliibeba sana bongo hip hop enzi hizo..
Nice insight mleta mada..technology evolves everyday..ni either uende nayo sawa au ikuache nyuma..Computer science in general inahitaji mtu kujiongeZa daily..
Nice post bro..Post nzuri kama hizi hazinaga followers wengi..hizi ndio siri za mafanikio ambazo watu iNabidi kuziishi..ila wasomaji wa mambo ya muhimu kama haya ni wachache..hamna uchawi ktk mafanikio if n only you stay focused ktk hivyo vipaumbele..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.