MWANDENDEULE
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 5,175
- 10,465
Mwache ale ujana mwenzako jamani mambo gani haya kwenda kumtisha na VVU.Nina best yangu wa kike anatoka na jamaa ambaye ameathirika na virusi vya UKIMWI.
Wako kwenye mapenzi mazito na mzigo kapiga halafu huyu rafiki yangu anamuelewa ile mbaya. Je nimuambie binti au nikaushie?
NB: Jamaa niliendaga kupima nae.