There's more to web development than PHP

Graph

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
2,736
6,155
Nimeamua kuanzisha huu uzi baada ya kuona karibia kila developer ninayekutana naye mtanzania tools zake backend: Php + MySQL, frontend: HTML/CSS/JavaScript.

Ok sawa, Php is a great language ndiyo, ni popular next to Javascript kwenye web development. You can do a lot of things with Php, Ila hata php yenyewe wanavyoitumia ni rough tu, hakuna code arrangement, hakuna kufata pattern flani, kama mtu anafanya OOP unaangalia the code is everywhere hakuna classes, objects zinakua created on the fly tu, tena wengine hadi identation tu ni shida, yaani ukichukua project ukiiangalia unaona ni bora uanze tu kuifanya upya from scratch.

Tatizo ninahisi ni uvivu wa kujisomea, hakuna chuo duniani utaenda wakufundishe proper ways of programming, how to arrange your classes, reuse your code e.t.c, watakufundisha fundamentals tu, kukuonyesha what the computer is capable of, what are the limits, how stuffs work, vitu vingine kama efficiency of algorithms, how to think like a programmer basi. Mambo ya real life programming inabidi ujifunze mwenyewe, kuna sources nyingi sana online.

Kuna languages nyingine za kutumia kwenye backend ambazo zinaweza achieve even better results kuliko php kwenye mambo mengi tu, popular ones Go, Node.js (JavaScript) , Python, Java. Wengi nimeona mna uoga sana wa kujifunza kitu kipya, kama hupendi kujifunza huoni kama ulichagua a wrong career? Hii ni industry ambayo haito-stop kukua, either unajifunza every day au unakua left behind, its that simple.

Kingine kinachonikera, watu kuogopa linux na command line, sio mbaya kuhost projects zako kwenye hosts ambao unatuma tu php files then everything works, ila ukiishia hapo una tatizo, Jifunze linux na kutumia command line vuzuri, jifunze kuhost your own machine, ingia hata amazon cloud chukua EC2 instance wanakupa offer ya kuhost bure mwaka mzima, cheza na zile machine ujifunze vitu vya muhimu kama load-balancing, scaling up and down of servers, data backup ya database yako, na mjifunze pia hadi caching, kuna tools za ku~cache kama Redis, Memcache, mambo kibao ya kujifunza ambayo yanaweza kufanya web apps zenu ziwe much much better. Na command line sio kwa ajili ya kuhost machine tu na kudiscover files, kuna apps kama vim, unaweza change code on runtime kwenye server, kama kuna tatizo unalifix from anywhere, very convenient.

Namalizia na client side, There's more to frontend development than jQuery, kuna tools kama React, AngularJS, Polymer, watu wanajua jquery tu. Jifunze tool kama React you won't regret it, personally I think React ndio the way the DOM was supposed to be manipulated, kila kitu kwenye its own component, very easy to work with. And please minify your javascript files, ikiwezekana tumia tools za kucombine all your scripts into a single file na kuliserve hilo moja, mkito walikua na hili tatizo you could hack and download a song kwa kubadilisha a single value kwenye their javascript code nikajiuliza hivi they don't even double check kwenye server side pia before serving you the file, naona walishafix hili tatizo siku hizi.

Tupunguze uvivu.
 
Asee mi ukweli nimemaliza diploma na language tulizopiga Backend ni php only tena darasa zima mimi na rafiki angu ndo tulioelewa kozi tuliwafanyia watu wengi project, ila for now c++ nimejifunza. Sasa najiuliza tu darasani tuko 27 na karibia nusu hawakuelewa PHP leo asome python ataanzia wapi? Hua natamani niwambia wanafunzi wanaotaka hii career waache kukurupuka ila nashindwa wanadhani informatics ni kubofya keyboard tu na kuuza nayo sura.
 
Nice insight mleta mada..technology evolves everyday..ni either uende nayo sawa au ikuache nyuma..Computer science in general inahitaji mtu kujiongeZa daily..
 
Asee mi ukweli nimemaliza diploma na language tulizopiga Backend ni php only tena darasa zima mimi na rafiki angu ndo tulioelewa kozi tuliwafanyia watu wengi project, ila for now c++ nimejifunza. Sasa najiuliza tu darasani tuko 27 na karibia nusu hawakuelewa PHP leo asome python ataanzia wapi? Hua natamani niwambia wanafunzi wanaotaka hii career waache kukurupuka ila nashindwa wanadhani informatics ni kubofya keyboard tu na kuuza nayo sura.
Umesoma SUA??
 
Tatizo tunachozungumza ni programming languages tu.. tunasahau software ni zaidi ya hapo.. PHP is not that bad ila kama programmers tunahitaji kujifunza vitu vingi sana tena sana apart from technology
 
Tatizo ninahisi ni uvivu wa kujisomea, hakuna chuo duniani utaenda wakufundishe proper ways of programming,

Nimependa uliyoandika na hili zaidi...nishakutana na wabishi nchini humu kama vile sijui nini...hawataki kujisukuma wakajua mengi...na mitandaoni kuna kila kitu..ni muda wako tu...mengine mtu umemaluza hata degree unajiongezea kwa urahisi kama vile ulivibeba kwa lecture room kumbe...
 
Tatizo tunachozungumza ni programming languages tu.. tunasahau software ni zaidi ya hapo.. PHP is not that bad ila kama programmers tunahitaji kujifunza vitu vingi sana tena sana apart from technology

Ni kweli mkuu software is far more than that lakini mara nyingi watu wanaopenda kujifunza kitu kipya languages included hua wanajifunza mambo mapya mengi tu coz wanakutana na vitu mbalimbali ambavyo vinafit with a particular language with time they become better software developers, mfano ukisoma R ni lazima utakutana na mtu anafundisha kwa kutumia mifano ya Data mining, hapo tayari unakutana na kitu kipya.

Kinachonishangaza ni jinsi watu wachache wanajituma, ingia mfano Coursera, kuna courses za kutupa, niliangalia course ya Machine Learning ya Andrew wa Stanford, kuna ya Data Mining pia, Systems Programming, Computer architecture, very great courses na zinatolewa bure. Au tatizo labda ni bundle za internet?
 
Rwanda hawana uafadhali wowote ule. Tanzania pamoja na kua ina developers wengi wabovu haimaanishi kua hawapo ambao hii kazi wangeweza kuifanya vizuri tu. Wapo wa kutosha wa kuweza kutengeneza system nyingi tu za serikali tena ambazo ziko secured.
Si unajua tena mkulu akishapigiwa makofi....anaharibu kila kitu
 
Wataalamu wa IT kutoka Rwanda hawa hapa
1470072742413.jpg
 
Ni kweli mkuu software is far more than that lakini mara nyingi watu wanaopenda kujifunza kitu kipya languages included hua wanajifunza mambo mapya mengi tu coz wanakutana na vitu mbalimbali ambavyo vinafit with a particular language with time they become better software developers, mfano ukisoma R ni lazima utakutana na mtu anafundisha kwa kutumia mifano ya Data mining, hapo tayari unakutana na kitu kipya.

Kinachonishangaza ni jinsi watu wachache wanajituma, ingia mfano Coursera, kuna courses za kutupa, niliangalia course ya Machine Learning ya Andrew wa Stanford, kuna ya Data Mining pia, Systems Programming, Computer architecture, very great courses na zinatolewa bure. Au tatizo labda ni bundle za internet?
watu hawajifunzi kabisa software Engineering wala computer science.. yaani wenyewe utawasikia soko letu lipo kwenye PHP(ni kweli kiasi)... yaani anasahau php ni procedure.. kwa kuwa ameweka data kwenye database na kuweza kufanya query basi amekamilisha kujifunza.. hajifunzi kabisa namna tech inavokuwa
 
mleta mada mbona kama unaziponda sana html na js?

Sijaponda HTML wala JS, website yoyote ile lazima iwe na HTML coz ndio the only markup language inayotumika kwenye DOM, na JS ni lazima pia coz ndiyo programming language peke yake inayorun kwenye browser.

Ninachopondea mimi ni uvivu wa developers wengi wamekaa hawajisomei concepts mpya zinazotoka kila siku wanabaki kustick na stack ileile moja, mfano kwenye front end, kuna new tools kama React.js, ni Javascript ile unagawa kila kitu into components, mfano site kama ya JF, hii sehemu ya kuandikia reply ni component moja, sehemu ya post ni component nyingine, navigation menu ni component nyingine, unaziandika zote separately as their own classes, then mwisho wa siku unaziunganisha tu kirahisi, very clean, na kila component moja inahandle logic yake kivyake, very easy ku~debug, scale, change anything, also important very easy to read. Ila wengi wamestick na kuunganisha kila kitu kwenye page moja unakuta page moja ndefu code ipo everywhere, php, js, html vyote humohumo vimerundikana kwenye divs tu. Its an old fashioned way of doing things.
 
Just out of curiosity, do you do Elixir/Phoenix?
 
Nimeona hiyo display picture inafanana na logo ya Phoenix ndio maana nikauliza. Elixir is a very beautiful language
 
Nimeona hiyo display picture inafanana na logo ya Phoenix ndio maana nikauliza. Elixir is a very beautiful language

Logo ni ya Apple's Swift.
Hizi Erlang and the likes ni very powerful ila ni moja ya languages zenye resources chache online, inafanya learning kua very steep na slow production kama unataka kuandika huge software, I think kwa kua hazina much support kama the likes of Java. I might try to learn Elixir in the future.
 
Back
Top Bottom