Nasema hakunaga ushemeji tunakulaaga..

Hahah... Hii zamu ya Man Fongo, zamu yako Ita kuja kesho, usinune baharia wangu
 
hyo ni kwako tu!!!! mbona mi na shemeji yangu tunaheshimiana sana wala hakuna mawazo km hayo!!!! UKIMWI unawateja saNa siku izi.
 
Hiyo Ngoma nimeisikia juzi Kati inapigwa na dereva wa bodaboda nikacheka sana
 
wanakulaga tu coz maisha yao yenyewe utata, ka umefuatilia wapenzi wa mziki huo maarufu Kisengeli wengi wao ni masela nnya uswazi, maskani vijiweni, panya road, kumi nje kumi ndani, wanywa gongo n.k yaani hao wakikuta hata road wanakulaga tu tena mtungo
 
Back
Top Bottom