Recent content by Usabatoni

  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tupeane changamoto za kuwa na uhusiano na Single mothers

    mnawafata ma single mother kwa nini?...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya Polisi kuamriwa na Rais Magufuli kumwachia huru Ney wa Mitego, sasa Rais afanye haya...

    which extent are you talking about?..... is Better to be compressible by making critical clarification of the subject matter
  3. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada maalum:Je umetenga asilimia ngapi ya kipato chako kwa ajili ya wazazi wako?

    Asilimia kubwa ya watumishi wa zamani wamejenga nyumbani kwa kutumia hela za pensions hii ni kwa sababu walikuwa na mzigo mkubwa wazazi wao na ndugu waliwategemea mapato yao wakaelekeza kusaidia wazazi na ndugu mshahara ukawa ni hands to mouth. muda huo unakuta mzazi au ndugu ana nguvu za...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    your so terrible in writing skills
  5. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mme

    Mtendee Mtoto waka haki kwani Mtoto anahitaji malezi ya wazazi wawili sasa kama unatafuta mwanaume it means huna muda na baba Mtoto tena Je ukimpata huyo wa sasa atakubali kukuchukua na Mtoto mwenyewe baba yake?... je ukimuacha kwenu utakuwa umemtendea haki?... Je Nani wa kubeba mzigo wa mtu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Lissu kachaguliwa kuwa Rais wa TLS?

    C
  7. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wanajifanya expensive mitaani wanalia kwenye social network

    exactly
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    Mkurugenzi Shule ya Udereva Butiama Driving School yenye usajili namba 288850 inayofundisha udereva wa Bodaboda,Bajaji,na Magari Madogo,anatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo :- 1.Nafasi 1 :Manager Sifa: Awe mwenyewe umri wa miaka 21-55,Awe amehitimu kidato cha 4 na kuendelea,Awe na elimu...
  9. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu kwenu

    Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu kwenu kuwa natafuta mchumba wa kike. Sifa zangu a/ Mrefu b/ Maji ya kunde c/ 32 years hold d/...
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama: Mwanangu ukioa usimuoe mwanamke wa namna hii!!

    sky' are you a linguist?..... I appreciate your punctuation and thesis
  11. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Moto waanza kuwaka Kenya, Raila Odinga asema IC kumuondoa Uhuru Kenya madarakani

    Siasa za Kenya waachie wakenya
  12. U

    JamiiForums Tanzania Wapemba wateswa na uamuzi wa Mh. Seif Sharif Hamad

    Bifu zako na wapemba usilete hapa!!!!!!
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kanisa: Serikali iache kuigiza

    Kumekucha!!!!!!
  14. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wenzangu wa kujificha siku kama hizi kukwepa vizinga

    Ni Sawa
Back
Top Bottom