Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga, amesema kwamba watatumia Jumuiya ya Kimataifa kumuondoa Raisi Uhuru Kenya kwa nguvu madarakani kama ,,akikataa kukubali matokeo", hii habari kwangu inaonyesha kwamba hali siyo nzuri nchini Kenya, nionavyo mimi huu uchaguzi utakuwa mgumu klk hata wa 2007, kwani liwalo na liwe Raila Odinga &Co. wameamua kuingia madarakani na matokeo halisi ya kura hayatajalisha kwani hata kama Uhuru Kenya akishinda bado watakataa matokeo na kusema wameibiwa kura!
Yeye Raila Odinga anasema ni lazima Uhuru akubali matokeo lkn hasemi kuwa yeye kama atakubali matokeo...
Raila Odinga: World will help if Jubilee clings on to power
Yeye Raila Odinga anasema ni lazima Uhuru akubali matokeo lkn hasemi kuwa yeye kama atakubali matokeo...
Raila Odinga: World will help if Jubilee clings on to power