Nafasi za kazi

Usabatoni

Member
Apr 13, 2014
63
30
Mkurugenzi Shule ya Udereva Butiama Driving School yenye usajili namba 288850 inayofundisha udereva wa Bodaboda,Bajaji,na Magari Madogo,anatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo :-
1.Nafasi 1 :Manager
Sifa: Awe mwenyewe umri wa miaka 21-55,Awe amehitimu kidato cha 4 na kuendelea,Awe na elimu ya chuo kikuu au Diploma na uzoefu usiopungua miaka 5
2.Nafasi 1:principal
Sifa:Umri miaka 20-60,Elimu kidato cha 4 na kuendelea,awe na cheti cha ualimu,shahada ya chuo kikuu au Diploma na uzoefu wa miaka 2.
3.Nafasi:Chief Instructor
Sifa :Cheti cha Instructor Certificate,Uzoefu usiopungua miaka 2 na zaidi.
4.Nafasi 3: Theory and Practical Instructors
Sifa: Kidato cha 4 au zaidi,Cheti cha kufundshia.
5.Nafasi 2: Uhasibu
Sifa:Kidato cha 4,Cheti cha Uhasibu.
6.Nafasi 2:Masoko
Sifa :Kidato cha 4 na kuendelea,Cheti au Diploma ya Marketing.
7.Nafasi 1:Mapokezi (Receptionist)
Sifa:Kidato cha 4,Full Secretarial Duties Certificate.
8.Nafasi 2: Ulinzi
Sifa:Darasa la saba na kuendelea,Cheti cha Mgambo au JKT au Zaidi.
Simu:0762049774,Email:uderevabutiama@yahoo.com
Dead Line 20-02-2017
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom