Usiishi maisha ya birdman,didy,jay z na wngn wakati unatoka familia ambayo Kula mpaka msubiriane,mtu anapoendesha escalade,hammer,Lamborghini,bughatti,a ya yale yote ambayo Yana high fuel consumption angalia pia anaingiza nini katika kazi yake na katika nchi zao mafuta bei yake ikoje,vinginevyo...