Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

Kumbe mabinti ndivyo mlivyo?

AUZE PIKIPIKI ILI AKAFUNGE NDOA????
BILA PETE YA DHAHABU HAKUNA NDOA???

What A shame eti..."anamuomba mwanamke amuongezee pesa..."

Huyo friend wako ni #MAD brain
Get him a #---- ward from me.
 
Ndoa ni maelewano kama wanashindwa kuelewana mwanzo hivi wakiwa kwenye nyumba sijui itakuaje?
 
Aaa wapi aitoe wapi?. Angalau hata angekuwa bikra Mara mia . Nina rafiki mwingine anafunga ndoa mwaka huu. Kaenda vijijini kaopoa standard seven kitu kibichi na kiko bado karatasini hakijaguswa kwa laki sita tu pungufu anaongea . Tunakalia na baadhi wa mjini wenye akili kama za huyu. Pyuuu!.

ah wewe mie nashanga mwanaume kumbembeleza demu wakati papuchi zimejaa kibaooo
 
aahirishe ndoa mpaka atakapokuwa tayari , cha nini kufa na stress kisa kuchumbia tu.
 
Naomba umshauri jamaa kua Mungu kamuonesha ni aina gani ya msichana aliekua nae. Anasema msichana ana kidhi vigezo vyote ila sidhani kama ana kidhi hivo vigezo mana kwa hili jambo,nadhan alikua bado hajaona tabia halisi ya huyo msichana. Kaka naomba umshauri jamaa better apige chini mapema mana atajuta sana pindi akiingia kwenye na nasema hivi kwa sabab jambo kama hili limeshawahi kunitokea na nlikua na uhusiano na mdada mmoja na kwa muda wote nlikua cjui tabia yake vizuri na namshukuru Mungu nligundua na nkaona better nijipumzishe.

MAke a decision ambayo utakua tayari kuishi nayo milele.

Tafadhali kwa hili naomba usiruhusu mwenzako apotee
 
huyo binti yuko sahihi asilimia mia. hasimpe huyo mwanamume hata shilingi moja
 
Jamaa yuko njia panda hapo awali hadi hivi sasa binti anaonesha upendo kwa jamaa ila hili ndilo linalomstua jamaaa amekubali la Pete amechukua vipimo vya kidole tiari Leo ndio nilikuwa nampeleka kwa sonata ila nimemshauri aache kwanza tumtathimini binti kwanza . Maana kama huu ni mwanzo kweli jamaa ataiona hela mwanamke ndani ya nyumba?. Anamwambia ati huko mbeleni watasaidiana ila si katika hili mh!. Kweli kuna future hapo?. Alafu anampiga jamaa ban asiombe ushauri kwa rafiki zake Bali mambo wayamalize wao wenyewe mh!. Ama anadhani friend wangu hawezi back out?.

ni jukumu la mwanaume kuhusika na malipo au gharama zote zinazohusiana na mahari.

wanaume tunakuwaga na kashfa sana endapo mwanamke atahusika kuchangia mahari kwa jinsi yoyote ile.

kama huyo kijana anayetaka kuoa hajajipanga basi atulie lakini sio kumsemea mbovu binti wa watu.

na wewe mleta mada mbona unatoa majibu kama ndie muoaji?

stay away from this halikuhusu kihivyo.
 
Ndugu yangu usijejaribu kutoa hata kumi kwa ajiri ya mahari yako mwenyewe.........
 
ni jukumu la mwanaume kuhusika na malipo au gharama zote zinazohusiana na mahari.

wanaume tunakuwaga na kashfa sana endapo mwanamke atahusika kuchangia mahari kwa jinsi yoyote ile.

kama huyo kijana anayetaka kuoa hajajipanga basi atulie lakini sio kumsemea mbovu binti wa watu.

na wewe mleta mada mbona unatoa majibu kama ndie muoaji?

stay away from this halikuhusu kihivyo.

Ni rafiki yangu na inanihusu tena sana. Mambo ya kugongewa Mlango usiku wa manane kuamua ugomvi sitoweza kabisaaa. Kuletewa watoto nikae nao kwa muda mke hayupo siyawezi. Kukaa vikao vya usuluhishi wa ndoa na kwenda kutoa ushahidi mahakami siyawezi akioa shauri yake anikaribishe mambo yanapokuwa mazuri yakiharubika anipite mbali kwani dalili ya mvua ni mawingu.
 
Kwanini siku hizi kumekuwa na ongezeko la mabinti wanao force ndoa
 
Hahaha pungufu mnaongea au sio.

Sasa je. Wazazi wengine wazungu bhana hakuna shida. Yaani hadi kumpiga binti yake unaona aibu akija kujua kwani anakuwa amekupa ka zawadi na si kama mali ambayo utataka faida kutoka kwake.
 
hah hah hii imenigusa asee.. kuna mtu anadai tuchange nusunusu atoe mahari kwetu..hapa anatishia kuniacha kwa ishuz za mshahara.. hata pete sijavishwa, ndani sijawekwa ANAPIGIA MAHESABU MSHAHARA WANGU... ooh noo noo nooo.!!! no kubwa.

Hujapenda na umimi kwenye mahusiano huyaharibu kabisaa. Ka vipi mpotezee utafute ambaye ataruhusu mshahara wako kuishia saluni kusuka nywele na kuparua kucha.
 
daaaaah mpe pole bro,mwambie anitafute nimpe hints za kucheza na na watu wanaowafanya wenzao price tag.
 
huyo binti yuko sahihi asilimia mia. hasimpe huyo mwanamume hata shilingi moja

Alafu akagongwe na baboons?. Unajua nyakati zimebadilika sana ikiwa ni hivyo hata mama kununua nguo za watoto asihusike, kuchangia ada za watoto uwe mfuko wa baba ilihari mama anakazi na mshahara anapata, bill zote baba huku mwanamke akitumia fedha kutengeneza kucha na kusuka nywele. Kuna baba mmoja alikuwa analalamika mkewe anaomba mpaka pesa ya chumvi huku akiwa na kazi yake nzuri tu na pesa anapata. Hilo limama muda wote likiulizwa pesa zinakwenda wapi linanuna siku nzimaa. Hii ni sawa?. Wanawake wako wengi wengine wajane wanatafuta vijana wawalee tena kwao fedha si shidaa kabisaa. Kuna jimama moja lilipoteza funguo za nyumba kwenye kama saa nne usiku akanikuta maskani anatafuta fundi nikasema Mimi sio fundi acha aniombe nikamsaidie nikakubali Mlango ukaitika khe mama wa watu kumbe yu single acha aanze mapozi yake ya ajabu ati ananipa elfu hamsini nikamchongee ufunguo na kumi elfu usafiri wa boda boda nikamwangaliaa nikacheka kimoyo kimoyo nikajisemea mwenyewe angalijua mimi ni nani asingefanya yote hayo akaomba namba za Simu ili kesho yake anistue mapema asubuhi kwa hiyo kazi nikampa nilimfanyia kazi yake na nikarejesha fedha zote zilizobaki ati akaniambia zinifae kwa kazi niliyofanya nikakataa Kata kata nikaishia zangu mpaka Leo kimnya sijamtafuta wala nini . Alafu kije kibinti kilete shida .
 
mbona unapepesuka nje ya mada?
 
Hata gari kabla halijakwama huwa linaonyesha dalili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom