Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
mimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu
Neema za Allah ni zipi mkuu?
mimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu
Kwa comment yako tu tayar una presure wewe
Husninyo atasaidia kukujibu cc Husninyo
mimi naona mwanamke akiwa flat screen na kitambi ndo anachukiza but kama neema za allah zipo kitambi sio ishu
Mhhhhhhhh
Bibie mbona waguna!? Halafu utakuwa mfupi wewe
User mame yako mbona umeongeza "O" mwishoni?