Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aiseee hama timu .... ... .... .... karibu Emirates wanakudanganya tu hawa wamezoea mpira wa Brown envelopes khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huyu Shule bure kabisa anakosa goli la tatu hapa ..... .. .

Chaaaaa!!!! Kesho usinikimbie tu......linarudi hilo soon
 
Chaaaaa!!!! Kesho usinikimbie tu......linarudi hilo soon

Njoo kesho uone tutakavyo wanyoa Olympiakos .... ..... .. we jaa tele tu kama pishi la udaga .... .... . kwanza mpira wa kisasi huo

Wolfs 2-1 Manure .... .. wanadhulumiwa ooops .. . hapa na refa wa tatu khe khe he khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mata yuko Offside .... .. . Bahasha yenu ilikuwa nyembamba khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee HT .... . .
 
Huyu linesman amesubiri 20 seconds na ushee kabla ya kuinua kibendera shenzi taipu siwapendi kabisa hawa waamuzi namna hii hata Ozil walimdhulumi goli la mkono.
 
Nakumbuka rojo alimueka huyu draxler kwenye mfuko wa shati ila Leo anasumbua kwel anyway nahisi Europa inatuita
 
Hawa jamaa wanatufunga goli zinazofanana...sijui wametujulia nini...goli la pili linaufanano flani na lile walilotunga O.T anyway timu iko haijabalance kwenye selection kwasababu ya injuries tulizonazo...pale kati anahitajika Carrick...
Ashley Young angeanza hii game
 
_87107878_naldocelebrates_reuters.jpg


Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee lala salama hiyooooo
 
Manure msijali PSV nao wanaweza kunyukwa .... .... .. ... ..
 
Mhh afazari twende Europe kuliko Huku hii speed ya Real ukikutana nayo na hii timu yetu
 
Hii ndio game LVG anastahili kuprove kama anastahili kuendelea kuifundisha
 
Hii ndio game LVG anastahili kuprove kama anastahili kuendelea kuifundisha

Mi naona kama anataka kuweka kisingizio fulani kwamba hayo ndo matokeo ya attacking football,....Leo ukiangalia vizuri style ya uchezaji imebadilika....
 
Back
Top Bottom