Recent content by Umutimbaru

  1. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Ufugaji Wa kuku
  2. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Je, Nape yuko tayari kujiuzulu?

    Asipofanya hivyo kazi ataifanya?
  3. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu "kinyonga"

    FULL ANSWER According to the University of Michigan Museum of Zoology, female chameleons continue to mate for up to 11 days, but never mate more than once a day with the same male. The majority of chameleons lay eggs 22 to 34 days after insemination and bury them in cool, moist sand for...
  4. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    [emoji217] [emoji240]
  5. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kisasa vya kunywea kuku wako maji

    Mwenge sehemu ili?
  6. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Ni kweli,Lakini we sikiliza ujumbe uliopo katika nyimbo hizo tuu. Ujumbe unapotosha au unajenga..
  7. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja. Hii imekaaje!!!?

    Watendaji ktk wizara sio Waziri bali NI makatibu ambao ndio washauri WA Waziri
  8. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Kitabibu, inawezekana kutokulala kwa week 6?

    Brain wash
  9. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Askofu mkuu Pengo mulika shule za Kanisa lako takatifu

    Kuapandishwa kwa mishahara ya watumishi kila wakati sio tatizo? Gharama hizo kupanda huenda ni sababu ya gharama ya undeshaji nayo kupanda. Mfano walimu kuhitaji mishahara mikubwa ili kukidhi gharama ya maisha nje ya shule sio tatizo? Inawezekana tatizo hilo la kupandisha ada linatokana na...
  10. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Biashara ni biashara utakayo ifikiria anza na mtaji Mdogo, alafu kadri unapata uzoefu unaongeza mtaji. Na kama unaona biashara ulioanza haeleweki basi badili mapema. Na usiogope kupata hasara wakati wa majaribio.
  11. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Msaada waungwana, jinsi ya kujua simu halisi

    Anza na kupiga Kwenye simu husika *#06# utapata Namba IMEI Namba hiyo inakili na itume kwa SMS Kwenda 15090 na utapata jibu hapo hapo. Na maelekezo mengine
  12. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya Plastiki ipigwe marufuku! Watengenezaji wafikirie mbadala wake...

    Mi nashauri hiyo mifuko badala ya kutolewa bure iuzwe, ikiuzwa haitakuwa inatupwa hovyo. Pia waiongezee ubora ili iweze kutumika mara kwa mara
  13. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania UVCCM watoa tamko, Wamuongelea Kingunge na Uchaguzi Mkuu Zanzibar

    Ccm ya kina kingunge sio ccm ya sasa ndio maana upepo na kasi ya ccm ya sasa umemshinda ameiacha ili awe pahali ambapo ataweza kwendana na upepo huo. Hongera kwa maamuzi ya hekima.
  14. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania Baba mtakatifu fransis awaonya viongozi wanaongangania madaraka

    hilo lipo
  15. Umutimbaru

    JamiiForums Tanzania East African Countries To Have Common SIM Card Registration To Curb Cross-Border Crimes,

    that s good idea:clock::clock:
Back
Top Bottom