BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,810
Nimeleta vifaa vipya na vya kisasa kwaajili ya kunyweshea maji kuku wako, huna haja tena ya kwenda kuweka maji bandani. Kifaa hiki una connect toka kwenye tank yako ya maji na kuku anakuwa anakunywa mwenyewe. Bei yetu ni sh. 4000 kwa piece moja. Picha ipo hapo chini.
KARIBUNI SANA, TUPO MWENGE-DAR ES SALAAM.
KARIBUNI SANA, TUPO MWENGE-DAR ES SALAAM.